vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 869
Hongera mkuu kwa kurahisisha maisha.
Kaka inafanya kazi kweli?Acha kuumiza kichwa cha kufanya tafuta hii app inaitwa (appvn) haipo playstore wala apple store i search kwenye google.com kisha idownload na uinstall utakuta inatumia lugha y kijapana kama aijakosea nenda kwenye setting ya hiyo app kisha change lungha ukishamaliza......Fungua playstore kisha search hilo game lako ambalo linahitaji kulipia...ukishalifungua scrow down mpaka mahala pa kushare hiyo app kisha share kwenye hiyo app niliyoitaja hapo mwazo i mean appvn kisha utaweza kulidownload for freee.........NB:Njia hii sio halali ila unaweza kufanya kama hauna pesa
Mkuu somo lako zuri ila lipo nje ya mtoa mada.Acha kuumiza kichwa cha kufanya tafuta hii app inaitwa (appvn) haipo playstore wala apple store i search kwenye google.com kisha idownload na uinstall utakuta inatumia lugha y kijapana kama aijakosea nenda kwenye setting ya hiyo app kisha change lungha ukishamaliza......Fungua playstore kisha search hilo game lako ambalo linahitaji kulipia...ukishalifungua scrow down mpaka mahala pa kushare hiyo app kisha share kwenye hiyo app niliyoitaja hapo mwazo i mean appvn kisha utaweza kulidownload for freee.........NB:Njia hii sio halali ila unaweza kufanya kama hauna pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umetumia kilevi gani kwa leo maana upo nje ya maada kumbe kuhack ndo kupakua non play store [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Acha kuumiza kichwa cha kufanya tafuta hii app inaitwa (appvn) haipo playstore wala apple store i search kwenye google.com kisha idownload na uinstall utakuta inatumia lugha y kijapana kama aijakosea nenda kwenye setting ya hiyo app kisha change lungha ukishamaliza......Fungua playstore kisha search hilo game lako ambalo linahitaji kulipia...ukishalifungua scrow down mpaka mahala pa kushare hiyo app kisha share kwenye hiyo app niliyoitaja hapo mwazo i mean appvn kisha utaweza kulidownload for freee.........NB:Njia hii sio halali ila unaweza kufanya kama hauna pesa
Its grey hat hacking..sawasawa na kama kupakua vitu torrents..jamaa yupo right...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umetumia kilevi gani kwa leo maana upo nje ya maada kumbe kuhack ndo kupakua non play store [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]