Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Katika upekuzi wangu mtandaoni kupita huku na kule, nikasema ngoja niingie website ya TCRA huku na kule nikaingia kwenye tenders na kukutana na hii kama mojawapo ya International competitive...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama mtu yupo mbali nikiwa na NAMBA yake ya simu na weza kujua yupo eneo gani?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mi ntaanza kutaja nnazozipenda zaidi.. Farm Hero Saga Tempe Run Jamiifurums Twitbot LinkedIn Premier League Official Skysport Bloomberg Goal.com CNN Money ebay amazon Evernote Ntarudi wakati...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Natumia laptop yenye windows os. Kila ninapotaka kufahamu kinachoendelea kwenye kompyuta ninafungua task manager na kufahamu yote yanayoendelea. Kufungua task manager natumia button tatu: alt +...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni takribani miezi 6 imepita tangia kampuni ya simu ya nokia kuingia kwenye platform ya android ambayo inaushindini wa hali ya juu katika medani za smartphone tulishuhudia simu 3 za kisasa...
3 Reactions
60 Replies
7K Views
Samahani jamani anaejua jinsi ya kublock accont ya facebook anielekeze
1 Reactions
4 Replies
797 Views
Katika tafuta tafuta yangu mtandaoni ili niweze kuwa na speed kubwa, maana nimekua nikiona watu wanasema wana type kwa speed ya 120WPM(Words per minute),Nimekutana na kitu inaitwa Almena Method...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Naomba kujua, hivi ads katika simu zinasababishwa na nini? na pia ni njia gani naweza ziondoa maaana pindi ninapowasha data zinakuja hadi zinakeraa. Msaada wadau.
0 Reactions
3 Replies
755 Views
Naomba msaada formula ya kutafuta division kwenye matokeo ya wanafunzi Ninawafunzi kama 100 hivi na wana masomo kuanzia 8 haadi 10 kila mmoja lakn masomo yanayotakiwa ni 7 tu aliyofanya vizuri...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Habari zenu wakuu. Napenda kutengeza website as a hobby sasa katika research zangu nimekutana na wordpress wakisema kuwa unaweza kutengeza website ata kama sio mtaalamu wa coding. Nimeinstall...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
KickassTorrents : Latest torrents
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu.. nina YouTube channel sasa naitaji kwenda live kupitia video mfano kama baadhi ya channel za online muda mwingine unawakuta live wamejiunga na TBC wengine live wameweka bongo movie...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Ndugu habari za majukukmu samahani naomba msaada kwa anaejua links za videos converters ambazo zinafanya subtittles editing na zinaconvert videos in high quality plz tusaidiane plz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari was JF Naomba msaada wa formula ya kupanga matokeo kwa kutumia division Division zinapangwa kwa kutumia masomo 7 tu ambayo mwanafunzi amefaulu zaidi kapo wanafunzi wamefanya masomo hadi 10...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Wakuu habarin,naomba tuchambue kwa kina hizi website za vyuo vikuu tz,naamini kila chuo kikuu kina site,jaribu kutizama web view,contents,functionality etc. University of Dar es Salaam > UDSM...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu, Simu tecno W3 imezima ikiwa inachajiwa ni nini suluhisho lake mwenye kujua.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuuliza flat screen aina ya bish kwamwenye uzoefu inaubora kiasi gani...
0 Reactions
5 Replies
690 Views
Jaman CD hii inakazi gani mhimu katika computer Free DOS. operating system install CD and source code
0 Reactions
2 Replies
5K Views
wadau naomba kufahamu jinsi ya kuondoa picha ambazo umezipost kwa bahati mbaya kwenye Facebook(public)
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Natumaini mko poa wakuu, Naombeni msaada kwa anaefahamu namna ya kuifuta account ya facebook ya zamani ambayo nilishapoteza password yake na siitumii tena kwa zaidi ya miaka 4 sasa. Tatizo ni...
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Back
Top Bottom