Thanks mkuuNenda Sàmörà avenue clock tower inatazamana na Exim/nbc bank. Upande uliopo pia opposite na shell
Thanks mkuu. Ni elimu mpya kwangu...vipi siwezi kuzipata hapa kibongobongo bila kuagiza kutoka huko duniani moja kwa moja..battery bora ni kutoka katika laptop inayokuja nayo mkuu, kama wewe ni tech guy, ingia ebay, tafuta li-on cells 6 za rating ya walau 2000mAh each (za lithuania sio china) , fungue iyo bettry ulonayo weka cells mpya (au mpe fundi) ni kamzunguko kidogo ila UTAFAIDI indefinitely.
uwezipata apa , na ukibaatika nyingi hua za kichina, wanafake capacity unakuta imeandikwa 8000mAh ila kiukweli haifiki hata roboThanks mkuu. Ni elimu mpya kwangu...vipi siwezi kuzipata hapa kibongobongo bila kuagiza kutoka huko duniani moja kwa moja..