msaada namna ya ku unlock Sim card katika huwawei Y300

msaada namna ya ku unlock Sim card katika huwawei Y300

Kazakuku

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
354
Reaction score
110
Ndugu wana jf naomben msaada namna ya ku unlock huwawei Y300.aksanteni sana.
 
Ndugu wana jf naomben msaada namna ya ku unlock huwawei Y300.aksanteni sana.

Nini huawei je, una Modem au simu? Unaweza urahisi kufungua wote kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Simpleunlocking.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua huawei yako y300 kwa urahisi.
 
msaada wa ku unlock sim block huawei ascend Y300
 
hiyo simu fake hakuna simu aina ya HUWAWEI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom