Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Je: Apple display (Monitor) inaweza ku-function kwenye CPU ya dell au hp?? Kwa yoyote anaejua naomba mawazo yenu.
0 Reactions
3 Replies
719 Views
Habari wadau, natumia samsung galaxy J2 Duos, hii simu ni nzuri saana na nnaipenda , tatizo limekuja hapa. Hii simu ipo na Opearating System Lollipop 5.1.1 nahitaji japo kui-upgrade kidogo kwenda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanajamvi wenzangu, Nimepatwa na matatizo kidogo naomba msaada wenu wa haraka sana. Week kama moja iliopita nilikuwa na ugomvi na mtu ikapelekea nikamtukana sana na pia nilimwambia maneno...
0 Reactions
64 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, naomba kujulishwa ubora na madhaifu ya laptop za CCE ukilinganisha na laptop za kampuni nyingine
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dish la KU_band na receiver ya FTA ukiset vizuri unaweza kupata channel ngapi?, Utapata channel ngapi maana sio wote tunapenda madishi ya futi 6 au futi 8 Kuna mtu anatumia madishi madogo ya KU...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAKUU habari zenu nina tatizo moja pc yangu inastak labda unaangalia movie au unatype basi ikigoma hapo ni mpaka siku tatu mapka nne ndio inakubali kurudi katika hali yake Naomba msaada ni...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Hello wakuu Kuna hii sms App iko poa sana aisee Nashauri Wale wanautumia chatting than calling basi hapa ndo pahala pake #sms#email chat for android users Android. Mood Messenger - Messagerie...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba jinsi ya bypass computer password in window 10 pasipo ku loose data lakn
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Intel Core i5 Ram 8Gb Hdd 500Gb Webcam,Dvd Writer,Wifi Fingerprint Sensor Condition:used Call now/Whatsapp:0672669258 Price:390k
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Wakuu samahanini...Simu yangu S6 edge imekua na tatizo la kujizima na haiwezi kuwaka bila kuichomeka kwenye chaji..nimejaribu kuifactory reset lakin tatizo bado...Mwenye uelewa naomba msaada
1 Reactions
7 Replies
1K Views
ni samsung GT 9190 internal memory kuandika full wakat kuna GB 15 nimeenda Storage-clear cache ila nikidownload apps,inasema not space enough TATIZO LINGINE Simu haipandi 3g,kila nikiset...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Natafuta adsence wengine ukitoa google adsence ambao hawana masharti sana
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa wale watalaam wa umeme nilikua naomba kujua kama inawezekana ku convert single ya volt 230 phase ac supply to three phase ac supply yenye volt sawa na zile zinazotoka Tanesco. Yaani ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu mwenye keys za microsoft office 2016 naomba anisaidie
1 Reactions
3 Replies
793 Views
Tafadhali naomba unijulishe ili nisinununue simu fake au chini ya viwango
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari?? Natumia windows kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Ila naona nasumbuliwa na ku activate kila mara so nimeamua kuijaribu Ubuntu ili niwape likizo microsoft!! Haya ndiyo maswali yangu... 1...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Jamani habarin, nataka kununua kikotoo kipya kabisa kutoka dukani (kwa matumizi ya pure math), ila nimeambiwa kuna bahadhi ni feki, je nitawezaje kujua kikokotoo/Calculator hiki ni feki au genuine?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Calling for bloggers and social media influencers based in Tanzania who are passionate about using the power of the Internet to bring about positive change in their communities. APPLY NOW- Nenda...
1 Reactions
2 Replies
847 Views
Habari....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nimekuwa nikisikia kama upo uwezekano wa kupata channel bila ya kulipia kupitia Cable TV na ninatumia king'amuzi cha AZAM ila na wao hawakusita...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari za kazi wakuu, Niko hapa mwanajukwaa mwenzenu nimepatwa na tatizo katika simu yangu, kila nikitaka ku press menu inaniandikia "unfortunately, launcher3 stopped", natambua uwepo wa waganga...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom