Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Simu za apple mwaka huu zitapata updates mpaka iPhone 5s ya mwaka 2013 je Android simu gani itapata updates ya Android Oreo kama Hakuna zidumu fikra za Steve jobs
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wataalamu wangu Is there a way naweza kuconnect live event nayoangalia kwa kustream kwenye mobile yangu ionekana kwenye TV? Kama Yes ni TV aina gani inatakuwa na App gani niwe nayo kwenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu kwema humu? Nataka nijue kama inawezekana kuinstall window 8 au 10 kwa kutumia Memory card pc yangu ports zina zingua ni mini laptop ni reset ikazima ghafla ivo inawaka na na kuzima ila...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kampuni gani inasajili .co.tz na gharama zake zikoje?
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Za kutwa. Nina shida moja..sim yangu note 5 ina tatzo la network. Yan line inaonekana inasoma bt functions za sim hazikubal(like message.kucall etc).nishapeleka kwa mafund na vodacom bt wamechemka
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Naombeni msaada wenu njia ya ku-upgrade firmware,je bila laptop inawezekana?au internate cafe inawezekana? Naombeni mnisaidie
0 Reactions
6 Replies
2K Views
whether you a developer, a digital bussness enterprenuer, an e-commerce bussness or you are simply looking to use mobile money to ease payment management in your bussness ,the Tigo Pesa API's are...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
nimeona website kama ya wasafi.com inatumika kununulia mziki online, je hatuwezi kuwa na kitu kama hicho kwa vitabu? nina kakitabu kananisumbua sana kuuza. na pia bongo kuna waandishi wengi sana...
3 Reactions
13 Replies
7K Views
Naombeni mnisaidie nataka kuroot simu tajwa hapo juu.Nimejaribu Kwa king root imegoma.
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Wadau nauliza kati ya playststion3 na xbox360 nani mkali?wasilisha maoni yako kama ulishawahi kuzicheza game hizo,halafu mwisho wa yote tunamtangaza mshindi.
0 Reactions
40 Replies
57K Views
KAMA KUNA MWENYE VPN NAOMBA ANITUMIE
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Usirogwe Kujiunga na Kifurushi cha Airtel. Utajuta kupoteza pesa mbayo ungempa Maskini angekuombea Kheri. au ni bora ununue maziwa unywe. ni bora ununue juice unywe. airtel wamekuwa wahuni wezi na...
12 Reactions
91 Replies
9K Views
Habari za jioni wakuu,nahitaji msaada wa kimawazo hapa nikichomeka flash kwenye tv yangu uwa inaonyesha kapicha kadogo sio full screen hii inatokana na nini,aina ya tv ni singsung
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wana technolojia, nilikuwa naomba kupewa muongozo zaidi katika pitapita zangu za kujifunza kuhusu utengenezaji wa simple site, iliniweze kujiongezea ujuzi, nimekutana na hizi builders...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wadau, Nina shida kwa mwenye kujua jinsi ya kutengeneza photocopy machine aina ya Canon IR2202. Nikiiwasha inaandika 'Download Mode, Please wait'. Nimejaribu kusoma mitandaoni lakini...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wataalamu kuna website flan zinasambaa kwa kasi hivi kweli unaweza earn money? mfano wake huu>>https://goo.gl/ktRsG9
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari watu wa mtandaoni kuna hii copmuter fujitsu lifebook t730 tablet screen yake imepasuka nahitaji kuibadilisha so natafuta nyingine mpya ya kubadilishia sijajua ntapata wapi maan akama hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kuna hizi tv za sumsung zenye inbiult decoder, ukiweka antenna huwa zinaonesha channel fulan lkn tatizo lngu ni kwamba channel zinaweza kuwa zinaoonekana leo baada ya siku mbili the same...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari, Samahani, natumia simu ya Android lakini sasa najaribu kuunganisha na PC ili nipate nmtandao lakini kila nikiwasha HotSpot inajizima na haiwezi kufanya connection na PC tatizo nini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu hivi kuna uwezekano wa kuamisha IMEI moja kutoka ktk device moja kwenda nyingine? Natanguliza shukrani #ExperienceSmartLife
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom