Microwave ya kampuni gani ni bora?

Microwave ya kampuni gani ni bora?

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
848
Reaction score
871
Naomba kuuliza microwave bora na ya kampuni gani na wanauza duka gani hapa Dar
 
Mimi nauza microwave

Brand ni Russell Hobbes ya UK

Pia ina option ya kugrill

Nauza 180,000/ tu mpya kabisa.
0713662655 dar
 
Chukua hiyo hapo juu hata mimi natumia brand zao ,microwave , oven na jiko pas i wako vizuri mno
 
Back
Top Bottom