Simu yangu Line 2 aipandi 3G

Simu yangu Line 2 aipandi 3G

blogspot

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,269
Reaction score
1,147
Salam wakuu,natumaini asubuhi iko njema.Wakuu nimenunua simu ya Tecno N2 duka la Tigo ila kinachonishinda ni kuona Sim card 2 ambayo ni Voda inagoma kukamata 3G badala yake inashuka E Pekeyake

Nawasilisha wataalam mnisaidie.

Asubuhi njema .
 
ndio zinavyo setiwa hivyo labda ukaunlock SIM 1 iweze kutumia laini nyingine tofauti na hiyo maana sim 1 ni 3g na sim 2 ni 2g/E
ila mkuu kwanini umenunua simu za tigo na unataka kutumia voda si bora ungenunua za voda tu au zisizokulocked na mtandao wowote
 
shukrani Mkuu nilikua JKT Alafu uitaji wa simu ulikua mkubwa kwenye KUFANYA applications za vyuo hivyo sikua na budi KUFANYA hivyo mkubwa Nitatafuta ingine nkiwa vizur mkuu
 
tuko pamoja
 
Back
Top Bottom