Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu wa jukwaa, Naomba msaada, Kublock namba ngeni pindi ninapopigiwa, lakini nijue namba iliyoingia, yaani nione kama arlet hivi kwamba namba fulani imenipigia. Naombeni msaada wenu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba anayejua link hizo anisaidie ili niweze kucheck news mbalimbali kupitia vituo hivyo vya tv. Kwa muda mrefu naangalia clouse tv tu kupitia simu yangu ( live news) na hii...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Wataalam naomba mnisaidie namna ya kuondoa hii notification ya SMS yani ,sehemu ya app ya SMS inaonesha kuna msg imeingia lakini nikifungua hakuna msg yoyote na nimefuta msg zote kwenye simu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda huu, nimepata shida kidogo nikiwa na download Videos kutoka sites zifuatazo. 1. HDpopcorns.com 2. Moviescouch.com Hizi sites zina Movies nzuri tena latest tatizo liko hapa...
0 Reactions
5 Replies
570 Views
Zajion wadau, jaman TV yang ya Philips flat nmeiwasha inaonyesha ranging nyeupe tu,nikibonyeza menu haifany kaz,hamna chochote kinachoonekana zaid ya rangi nyeupe,msaada tutan
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Kwa wale wanaopenda magemu sasa unaweza kutumia gari, barabara, ndege na chochote kile kinachouzwa. Naomba unitajie jina la game unalolipenda na unashindwa kulicheza kwa uhuru sababu kila kizuri...
2 Reactions
94 Replies
30K Views
Habari zenu wataalamu akina CHIEF MKWAWA Nilikuwa naomba marlekezo kuhusu hii TV ya Samsung smart TV je naweza kudownload nyimbo Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauliza namna yabkupokea pesa from bitcoin to tigo pesa au mpesa.... mwenye kujua application nzuri ya bitcoin nzuri & procedures za kuwithdraw money naomba anisaidie
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Ninahitaji la kutengeneza App ya jambo fulani,. Pia kujua mtu anafaidikaje kwa kuwa na App Nashukuru kwa msaada wenu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu nilikuwa natafuta hi simu ambayo inatumia laini moja aina ya Tecno T630 Napatikana Dar Es Salaam
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wana jf Naomba Msaada kuna simu Tecno H5 Nikiiwasha inaleta maandishi ya Tecno haindelei cjajua tatizo ninini! Simu haina memory Naomba Msaada wenu wajuzi WA mambo hayo Natanguliza shukrani
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sim haina hata siku moja nimetoa dukani ikiwa nzima sasa imejifunga hivi. Maelezo ya google mengi ni kuiflash mwenye njia mbadala au namna naweza kuiflash mwenyewe nilipo hakuna fund huyo nina PC...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadau leo naomba kusaidiwa, nawezaje kuitumia simu yangu ya smartphone itumike kama projector? Lkn pia mara nyingi ukitaka kurusha matangazo au presentation huwa tunatumia computer kama chanzo...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa kuchapa page yoyote ya word na kuiprint kwa kukonect simu na printer? Kama ndio nifate taratibu zipi? Nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je, ni pointi gani unatamani ungekuwa unaijua wakati unaanzisha blogu. Tafadhali toa maoni yako na hebu tuifanye makala hiii kuwa ya lazima kuisoma kwa wanablogu wapya.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutokana na Wimbo wa DiamondPlatnumz - Hallelujah kufikisha views 1M ndani ya Saa 15 tu, Imeleta minong'ono mingi ya kwamba jamaa ananunua Views na ndio maana Msanii mkubwa kama yeye hayupo VEVO...
3 Reactions
23 Replies
11K Views
Jamani habarini, naomba kufahamu, kwa nini matangazo ya google adsense yayaonekani kwenye baadhi ya post ninazoweka kwenye site yangu? Na pia nime-experience hivyo hasa kwenye post za kiswahili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani nisaidieni kuna simu yangu imeibiwa nisaidieni kuitrace.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wasalaam wana tech, Naomba niitambulishe nyuzi hii hapa jukwaani, itakuwa msaada mkubwa kwa vijana wanaosomea fani mbalimbali za uhandisi, na hata wale wasiosomea bali hupenda kujifunza zaidi...
4 Reactions
31 Replies
9K Views
Back
Top Bottom