malundemhoja7
New Member
- Oct 13, 2017
- 2
- 0
Naomba kuuliza ni jinsi gani naweza kupost(kuapload) video youtube? Naomba msaada
nimejifunza kitu mkuu shukraniIngia kwenye browser yako mfano (ucbrowser)
1.Nenda kwenye web page ya Youtube
2.Ikishafunguka hakikisha ume sign in
3.Uta click hii sehemu
View attachment 609965
4.Utaenda hapa tena
View attachment 609966
5.Uki tap hapo UPLOAD itakuja hivi
View attachment 609970
Hapo utachagua video yako iko wapi uta select utakuwa umemaliza kazi mkuu.
Hakuna malipo?Ingia kwenye browser yako mfano (ucbrowser)
1.Nenda kwenye web page ya Youtube
2.Ikishafunguka hakikisha ume sign in
3.Uta click hii sehemu
View attachment 609965
4.Utaenda hapa tena
View attachment 609966
5.Uki tap hapo UPLOAD itakuja hivi
View attachment 609970
Hapo utachagua video yako iko wapi uta select utakuwa umemaliza kazi mkuu.
Hakuna malipo?
Chochote kile kinalipa sema tu unahitaji account ya adsense ndo uanze kulipwaHakuna malipo labda ukitaka account yako iwe kibiashara zaidi japo sipo kwenye hiyo industry so siwezi ingia sana indeeply ila kwa video tu ka unafanya tutorial za kawaida hamna malipo boss