Msaada wakuu laptop inaandika 'critical process died'

NakazaJR

Senior Member
Sep 3, 2015
131
250
Laptop inaniandikia CRITICAL PROCESS DIED kila nikiiwasha halafu inajirestart kwanza.ina windows 10.natatuaje hili tatzo maana inachelewesha kuwaka
be1d3fcf4e4d0cd0c588c1064eba3123.jpg
 

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,715
2,000
windows 10 ina crash sana na hii error sijui kwa nini?
Ila ukizima inawaka fresh tu msingi usirudie kitu kile kile kiloifanya ku crash!
mfano mimi nilikua najaribu ku connnect bluettoth device kwa pc yangu ikawa na crash na kila ukirudia error inakuja tena!
 

Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,790
2,000
Blue screen of death bsod io..ngoma imecrush,jarb kwenda restore point,chagua tarehe ambayo pc yko ilkua inapga kaz fresh..ikgoma apo pga windows au tafta fund
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom