Msaada: Kuhusu memory card nashindwa kucopy files au kufuta files

sameerkhan

Member
Nov 5, 2015
97
34
Kama inavyojieleza hapo kwenye heading naombeni msaada memory card yangu nashindwa kuhamisha files kutoka kwenye PC kwenda kwenye memory, au nikitaka kufuta baadhi ya files kwenye memory inaniandikia "NO PERMISSION TO DELETE"

MSAADA PLEASE.
 
Swali.
Kwenye simu inakubali kuhamisha na kufuta? kama ni ndiyo
Angali kifaa unachotumia. Njia rahisi ichomeke kwenye modem.
Njia nyingine (km ni write protected)
https://https-m-wikihow-com.0.freeb...id_internal=1565619690390248;Afo4gJShA9UDQEnm

Kwenye simu inakubali kufuta baadhi ya files , lakini nikitaka kuweka files kwenye memory ndio inakataa
 
Pitia hayo maelezo vizuri. Tumia kwenye modem mkuu. Hilo ni tatizo dogo sana. Kama unatumia adapter jaribu kupitia link ya kwanza kabisa.
Fungua link nilizoziweka utakuwa umetatua tatizo lako.
 
Mi tatizo langu ni flash inaandika write protection haifungui wala kuformat. Nimejaribu kufanya yote nimeshindwa
 
Back
Top Bottom