Wataalamu wa Mitandao
Nina tatizo kama kuna mtu anaweza kunishauri cha kufanya!! Msg zangu zinasomwa ktk cmu yangu kupitia WhatsApp.
Password yangu ya simu ninayo na sometimes nabadisha kila wiki mbili
Sasa nashangaa Kwa nn? Nifanye nn kuzuia?
Huyo ni lazima atakuwa mtu wa karibu na wewe. Anakupeleleza kwa kutumia Spy apps.Wataalamu wa Mitandao
Nina tatizo kama kuna mtu anaweza kunishauri cha kufanya!! Msg zangu zinasomwa ktk cmu yangu kupitia WhatsApp.
Password yangu ya simu ninayo na sometimes nabadisha kila wiki mbili
Sasa nashangaa Kwa nn? Nifanye nn kuzuia?
BEST SOLUTIONWataalamu wa Mitandao
Nina tatizo kama kuna mtu anaweza kunishauri cha kufanya!! Msg zangu zinasomwa ktk cmu yangu kupitia WhatsApp.
Password yangu ya simu ninayo na sometimes nabadisha kila wiki mbili
Sasa nashangaa Kwa nn? Nifanye nn kuzuia?
Iphone inahusika vipi Na hiyo kituNunua Iphone kiongozi achana na tecno
Kutakuwa kuna mtu alikufanyia Kati ya haya kwenye simu yakoWataalamu wa Mitandao
Nina tatizo kama kuna mtu anaweza kunishauri cha kufanya!! Msg zangu zinasomwa ktk cmu yangu kupitia WhatsApp.
Password yangu ya simu ninayo na sometimes nabadisha kila wiki mbili
Sasa nashangaa Kwa nn? Nifanye nn kuzuia?
Unaweza kukuta mleta uzi anatumia iphone na bado amedukuliwaNunua Iphone kiongozi achana na tecno
Nenda setting then ingia kwenye app zako itafte ya whatsapp then uta delete data za hiyo whatsapp then utajiunga tena maana utapata code mpya hii ni njia ya kusave mbWataalamu wa Mitandao
Nina tatizo kama kuna mtu anaweza kunishauri cha kufanya!! Msg zangu zinasomwa ktk cmu yangu kupitia WhatsApp.
Password yangu ya simu ninayo na sometimes nabadisha kila wiki mbili
Sasa nashangaa Kwa nn? Nifanye nn kuzuia?
Ndio maana nikamuuliza hapo juu iphone inahusika vipi Na huo udukuzi ?Wiki tatu zilizopita kabla ya kuuza ki iphone 5changu nilikua Na app. Ya whatsap web ambayo Ni more advance kabisa Yaani ulikua Na uwezo WA scan,code kwa wasap user watano tofauti Na ukazimiliki akaunti zao vilivyo ,ilhali kwa android ulikua Ni akaunti moja,Tu Na window phones piaUnaweza kukuta mleta uzi anatumia iphone na bado amedukuliwa
Kwenye swala la kuingiliwa mawasiliano yako ya whatsapp hata kama una iphone 8 kama mtu ana access na simu yako anaweza kudukua kwa kuscan QR code kwenye simu yake then akaendelea kusoma na kufuatilia chat zako zote za whatsapp kuanzia za kwenye magroup mpaka za mtu mmoja mmoja
Ndio maana nikamuuliza hapo juu iphone inahusika vipi Na huo udukuzi ?Wiki tatu zilizopita kabla ya kuuza ki iphone 5changu nilikua Na app. Ya whatsap web ambayo Ni more advance kabisa Yaani ulikua Na uwezo WA scan,code kwa wasap user watano tofauti Na ukazimiliki akaunti zao vilivyo ,ilhali kwa android ulikua Ni akaunti moja,Tu Na window phones pia
Deactivate whattaap webWataalamu wa Mitandao
Nina tatizo kama kuna mtu anaweza kunishauri cha kufanya!! Msg zangu zinasomwa ktk cmu yangu kupitia WhatsApp.
Password yangu ya simu ninayo na sometimes nabadisha kila wiki mbili
Sasa nashangaa Kwa nn? Nifanye nn kuzuia?
Hata mwenye iphone alianza na twanga pepeta!Nunua Iphone kiongozi achana na tecno
Ha ha haHata mwenye iphone alianza na twanga pepeta!