MSAADA :Kozi ya mafundi simu watakaotoa TCRA

Mwananchi hewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
226
273
Kuna habari kwamba TCRA itatoa mafunzo ya simu kwa mafundi simu wa upande wa SOFTWARE sasa nilikuwa nataka kujua utaratibu upo vipi na sifa zipi zinatakiwa
Hebu tusaidiane katika hili wandugu
 
Kuna habari kwamba TCRA itatoa mafunzo ya simu kwa mafundi simu wa upande wa SOFTWARE sasa nilikuwa nataka kujua utaratibu upo vipi na sifa zipi zinatakiwa
Hebu tusaidiane katika hili wandugu
Siyo TCRA Moja kwa moja ni VETA Muda si mrefu utapata mrejesho wako kwenye Maandalizi Walipita kufanya utafiti kwa baadhi ya Mafundi TCRA in collaboration with VETA
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom