Msaada Link ya Gb whatsapp latest vision

Naona version imechange tena. Kama kuna mwenye latest version please tupiamo
 
Kuna tofauti gani kati ya GB Whatsapp na hii ya kawaida?
Na je ipi nzuri zaid?
Tofauti ipo kubwa whtsapp ya kawaida kwa sasa uwez eka status, na kuona status ya mwenzio na ya Gb unaeza fanya hayo yote na bado una unaweza kuzitumia zote kwa simu 1
We fanya kama una download uone manjonjo yake
 
Back
Top Bottom