Msaada jinsi ya kufanya installation ya Eurostar dish

Mohamedy cadinaly

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
1,776
2,000
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema naombini msaada kwa anayefaham installation ya Eurostar dish anipe muongozo.

Asanteni
 

pachachiza

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,698
2,000
Mkuu muone Mwl RCT ni mtaalamu kuna no zake humu kwenye nyuzi mbalimbali anazotoa mada kuhusu satellite dish.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom