msaada: naombeni link ya microsoft word ya 2003

msaada: naombeni link ya microsoft word ya 2003

Msemaji_

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
611
Reaction score
842
jamani wasalaam
samahani ndugu zangun nahitaji hiyo link ili niweze kufanya kazi yangu ambayo inakuwa supported na hiyo word
 
Link?
Unahitaji nini hasa embu funguka vizuri.
Kama unahitaji software hiyo ni swala lingine.
 
yap nahitaji hiyo soft ware mkuu

Unazungumzia zaidi ya 600MB, hizo software zipo tu tatizo jinsi ya kuonana ili uweze kuichukua kwa flash au au removable device nyingine yoyote
 
hii hapa. Microsoft office 2003
Ila 2003 mbona version ya zamani sana ndugu. Pengine ungesema unahitaji kitu gani mpaka utafute version ya zamani kiasi hiki
mm ni Land surveyor mkuu sasa kuna app inaitwa scso inatakiwa kuiunganisha na excell ili nifanye shughuli zangu lakini inaniletea vitu kama hivyo hapo chini na nimejalibu kuuliza sijapata majibu mujarabu but kuna mmoja kaniambia tafuta word ya 2003 huwa inakubali
excell.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom