Msaada: Simu yangu inatatizo la kukata data WhatsApp

NASEEB HASSAN

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
42
Reaction score
27
Nina TECNO-W3LTE inatatizo la kwenye whatsApp tu ndo inazingua nikiwasha data whatsApp inakataa ila app zingine zote zinakubali.

Nilijaribu kuconnect wifi ndo WhatsApp ikakubali na siwezi kutumia wifi mpaka niwe home ndo namwambia brother wangu aniwashie wifi hotspot nikonect.

Ila nili factory data reset whantsapp ikakubali kwa siku moja tu baadae tatizo likajirudia, kwa wenye ujuzi wa simu nisaidia nifate muongozo gani kwaajili ya simu yangu.
 
Nenda Mobile networks sehemu iliyoandikwa Acess Point names (APN) Fungua hapo Penye name Andika jina la mtandao unaotumia e.g Vodacom au Halotel kwenye Apn andika wap au internet afu rudi juu upande wa kulia save
 
Nina TECNO-W3LTE inatatizo la kwenye whatsApp tu ndo inazingua nikiwasha data whatsApp inakataa ila app zingine zote zinakubali.

Nilijaribu kuconnect wifi ndo WhatsApp ikakubali na siwezi kutumia wifi mpaka niwe home ndo namwambia brother wangu aniwashie wifi hotspot nikonect.

Ila nili factory data reset whantsapp ikakubali kwa siku moja tu baadae tatizo likajirudia, kwa wenye ujuzi wa simu nisaidia nifate muongozo gani kwaajili ya simu yangu.
Hizo simu ndio tatizo lake hilo common sana,,,, fuata ushauri wa jamaa hapo juu na pia ikigoma jaribu kureset network settings
 
Hili tatizo kimemkumba shemeji yako.
Nilimwonya kutumia hizi simu
 
Nenda HI MANAGER kwenye simu yako kisha>Data traffic Management >whatsapp toa tick/[emoji818] Enjoy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom