Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza natumia simu hii mwezi wa tatu sasa yaan iko slow sana . Nawasilisha... Nganga jr.
1 Reactions
3 Replies
838 Views
Habari wanajamii! Nililinunua simu aina vodaphone smart bomba V301 line mbili sasa kwa upande wa data inataka tu voda haikubali niweke line nyingine ata hivyo data inatumia tu line 1 ambayo lazma...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji Mtaalamu Wa google webmaster tool Tufanye kazi. Kama yupo humu ani pm
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Msaada kwa wenye uelewa na ili swala nlipiga picha kwenye cannon D90 nkachomoa memorycard nkaweka kwenye computer ili nikopi picha ikasoma afu ikatoka ikasoma tena picha 8 kati ya 80+ zilizokuwemo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nimenunua stabilizer aina ya SVS...SOLLATEK VOLTAGE STABILIZER...kiujumla iko imara lakini inanisumbua...umeme ukitokea ukakatika na ukarejea inatumia wakati mwingine hata saa4 kuruhusu output...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello guys, Hope everyone is doing great here. I am newbie and looking for few good replies. I have 2 websites which I build recently. Now I would like to set up chat app onto them. But not sure...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau leo ningependa kushare jinsi ya kufanya advanced search google ili kuweza kuwa sahihi zaidi katika kupata matokeo ya kitu unachojaribu kusearch badala ya kutype stori nzima...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Fastscan ni App nzuri na friendly user ambayo humsaidia mtumiaji kuscan document zake na kuziweka Katika format aitakayo Kama PDF, jpg, JPEG, etc, hii imenisadia kuscan vitabu na kuhifadhi katika...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wakuu, kichwa tajwa cha jieleza, Nahitaji msaada wa mawazo katika ya hizi njia zakupokea pesa kutoka mbele (Abroad), ni ipi inawahi kukupa hela (kupokea haraka within 2 days) kati ya...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wasalaam, Napenda sana Kujihusisha na inshu za Ku "code" na natumain October ntaanza kusoma programming.Napenda kuomba ushauri ni application gani & website IPI ni nzuri kwa tutorial ya first...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Inashindwa kusoma external HDD umeme unaofika kwenye external HDD ni Mdogo ambao unashindwa kufungua external HDD inawasha taa na kuzima nahisi kama umeme unaofika kwenye external HDD ni mdogo. Je...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati fulani nilikua natafuta kifaa au mfumo ambao utanirahisishia kuchapisha kitu chochote bila kukimbizana na computer. Hii ilitokea hasa wakati nillipokuwa naandika hadithi fulani kwa ajili ya...
0 Reactions
3 Replies
46K Views
Good morning! We all use computers in our everyday lives. These computers and their applications were created by people from around the world. Every day we hear about new innovation and sort. In...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Habarini wakuu kuna uwezako wa kuongeza speed ya internet maana ni speed ipo low sana download 200kps na upload 100kps ni kama tupo kijijijini kumbe tupo mjini hapahapa na line zote, au ipi ambayo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Husika na thread title media zote yaani picha...videos na audio zinagoma Ku upload na kudowload kwa muda sasa nawezaje kurekebisha?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Simu yangu haisapot Google play service, Ni Lenovo X2Pt5, Nimejaribu kufuata maelekezo ili niipate Ila Muda wote ni Google play service has stopped, Mwenye maujuz anisaidie
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba kuuliza microwave bora na ya kampuni gani na wanauza duka gani hapa Dar
0 Reactions
2 Replies
4K Views
habari,nimedownload adobe photoshop lkn zina files nyingi sana na sioni setup ya kuinstall.so how 2 install it....
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakali waprogramming naomba mnipe maujuzi sehemu au vitabu vyakusomea programming kwa urahisi na lugha rahisi ikiwezekana hata kiswahili kidogo
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom