Msaada: Simu yangu imeibiwa nikipiga inapokelewa ila mtu haongei

mbelwaabdu

New Member
Oct 18, 2017
4
1
Hey wadau nahitaji msaada wenu,

Simu yangu imeibiwa inakama siku tatu toka ipotee, kila nikijaribu kuipiga namba yangu inaita mtu anapokea then haongei kwahio inamaanisha huyo mtu bado anatumia laini yangu.

Sasa mimi nachohitaji kutoka kwenu nataka mnisaidie nifanyaje ili niweze kupata chating SMS zake ili niweze kumjua ninani na yuko wapi nataka kila SMS anayochat na mtu wake nami huku inifikie.

Naombeni msaada wenu kwa yeyote anaejua tekinolojia hiyo asisite kunisaidia.
 
Ingia kwenye page yako ya facebook upost taarifa hiyo na tumia namba nyingine kuwatahadharisha ndugu, jamaa na marafiki wote ambao namba zao zimo kwenye phonebook ya simu iliyoibiwa kuwa wasipokee maelekezo yoyote kutoka kwa namba hiyo iliyopotea na uwaambie imeibiwa. Baada ya hapo wahi polisi MUDA HUU uripoti upotevu huo. Kuripoti polisi hakukuhakikishii kuipata bali inakuweka salama endapo mwizi ataitumia vibaya kwa uhalifu au simu/line yako ikipatikana maeneo yalipofanyika uhalifu. Teknolojia itafute baadae.
 
Hey wadau nahitaji msaada wenu,

Simu yangu imeibiwa inakama siku tatu toka ipotee, kila nikijaribu kuipiga namba yangu inaita mtu anapokea then haongei kwahio inamaanisha huyo mtu bado anatumia laini yangu.

Sasa mimi nachohitaji kutoka kwenu nataka mnisaidie nifanyaje ili niweze kupata chating SMS zake ili niweze kumjua ninani na yuko wapi nataka kila SMS anayochat na mtu wake nami huku inifikie.

Naombeni msaada wenu kwa yeyote anaejua tekinolojia hiyo asisite kunisaidia.
Inajipokea yenyewe,iachie maagizo
 
Nenda mtandao wa simu....ukifika onana na uongozi watakwambia simu yako iko mnaragani wa karibu na kama una serio namba unaweza mkomesha ukaigunga mkakosa wote yani ikawa kopo aifanyi kazi kabisa
 
Pole sana mkuu
Muda si mrefu ataizima ndivyo ilivyotokea kwangu...

Ni bahati ikitokea umeipata
 
Back
Top Bottom