Nilidhani Microsoft wanajisifu kumbe hapana.

Nilidhani Microsoft wanajisifu kumbe hapana.

umetumia kwa simu sio? edge ya simu na ya pc ni tofauti. nimesikia tetesi ya simu inatumia webkit/blink hivyo ni kama chrome au safari ndio maana unaona ipo familiar ghafla.
 
Kwa upande wangu Mozilla na Chrome wako poa... Edge sijavutiwa nayo Mara kumi hata Torch browser
 
Mozilla Firefox ndo kila kitu, hii Edge haijawahi kinivutia hata siku moja kwa sababu haina add-ons na extensions za kutosha hasa kwa mimi developer
 
For smartphone tumia Brave browser for PC user nilikua nikitumia totch browser ila kwa sasa matumia maxitom browser iko very fast with no adds
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom