Msaada Jinsi ya ku restore disabled google a/c

Samatime Magari

Senior Member
Feb 10, 2017
103
388
Wakubwa Kwema naomba msaada wa jinsi ya kurudisha gmail account, Nikiwa katika matumizi yangu ya kawaida ya simu yangu nilipata ujumbe kwamba nimekua signed out of google a/c nikajaribu kurudi ndani nilivyoingia nikaambiwa a/c yangu imekua disabled kwa sasabu nime violate Google terms (Kitu ambacho sijafanya au nimefanya bila kujua). Nikapewa option ya ku restore nikatoa na reasons but since last week mpaka leo naambiwa wana review my request.
any idea on how I can have my a/c back tafadhali
 
subira yavuta kheri........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom