Habari wadau,
Kuna hili tatizo ambalo ni common sana kwa computer za kileo ambalo ni kugoma kuwaka display yani unapush button ya power mashine inawaka ila kioo hakiwaki wala kuonesha kitu...
Hello, natumaini wazima, ningependa kuongelea kuhusu animations kidogo japo haijapewa kipaumbele sana japo ni muhimu sana hasa technology inavyozidi kukua tunahitajika kuboresha matangazo yetu...
Wakuu mwaka huu Samsung wametoa simu nyingi sana mpaka wanatuchanganya wateja.
Kwa maoni yangu najua simu kali za Juu zaidi kwa Samsung ni:
1)Note 8
2)s8+
3)s8
4)s7 edge
5)s7
Sasa baada ya...
Habari wazee kwa vijana,
Nimefanya clean installation ya windows 10 juzi hapa ili kupata experience yake toka windows 7, Cha kustaajabisha nashangaa sizioni apps zangu ninazo install hasa app...
Habari wakuu, nina laptop yangu HP 6930p elitebook. Baada ya kupeleka kwa fundi kufanyia marekebisho kidogo na kubadilishiwa/ kuweka window 8.1 imegoma kushika wireless na hata nikiwasha Wi-Fi...
Habari wanajamii Mimi ni mwanafunzi wa mambo ya programming sasa naombeni ushauri nimetengeneza full system ya medical store ambayo unaweza kuuzia dawa
Kati ya faida ambazo unaweza kupata katika...
kuna pc(HP) ninayo ilikua na windows 7 na ikiwa inafanya kazi vizuri tuu, lakini nilichukua maamuzi ya kubadili window na kuweka windows 8, but on that time baada tu ya kukamilika installation ya...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
Je Wewe Ni Miongoni Mwa Watu Ambao Hupendi Kutagiwa katika Facebook timeline yako?
USIHUZUNKE Fanya Hiviiiii
CHEKI VIDEO HAPO CHINI ILI...
Wajuzi wa mambo ya net na apps,nauliza kama kuna APPS yoyote inayoweza kunitolea picha zangu zilizofutika kimakosa kwa galaxy yangu,nina Samsung Galaxy Grande Prime Duos zilikuwa images pamoja na...
asubuhi nimejipanga kwenda kununua simu aina ya tecno w3 naomba kujua bei yake wasije nipiga za mbavu pia naomba mnifahamishe vitu muhimu vya kuzingatia
Habari za leo natumai mu wazima wa afya
Nilikua natumia king'amuzi cha azam na dish lake wezi wakaniibia kingamuzi na dvd sasa nimebaki na dish bila kingamuzi ,tv na receiver ya mediacom ya FTA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.