Anayejua jinsi ya ku-copy taarifa mtandaoni na kuisoma offline

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
Habari wakuu, Mara nyingi nnapopitia mitandao ya kijamii au nnapo-search google huwa nakutana na Habari Fulani lakini huwa nashindwa kumaliza kuzisoma kutokana na majukumu ya hapa na pale ama urefu wa taarifa hiyo.

Hivyo kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kukopi taarifa furani na kuwa offline au ku-convert na kuwa mfumo wa PDF anifahamishe tafazali
 
browser gani? maana browser nyingi zina option ya save for offiline mfano operamini,uc browser, Apus browser na hata browser iliyokuja na simu yenyewe ina hiyo option
Natumia operamini kwani unafanyeje mkuu kwa kutumia operamini
 
Jitahidi kurusha picha mkuuu maana zipo nyingi playstore
6fd997ef5756037e3fd0fa5f97a04c8e.jpg


Ukishapata hyo habari unayotaka kuisoma baadae unaishare kwenye hyo App ya Pocket .Haina haja ya kuicopy cjui nn wee ishee tu humo kwenye pocket baadae ukifungua hyo App utaikuta habari yako
 
Fanya kuselect hio habari then copy baada ya hapo ingia notebook uka paste
 
Natumia operamini kwani unafanyeje mkuu kwa kutumia operamini
tena hiyo operamin ndio nzuri
wakat upo kwenye hiyo page unayotaka kuisoma baadae ikisha load yote bofya zile dot tatu upande wa juu kulia kisha utaona save fo offline kisha itauliza save or cancel chagua save
ukitaka kuziona hizo page ulizozisave offline bofya pale chini kwenye logo ya operamini na utakuta option ya offiline pages utazikuta hapo
 
Back
Top Bottom