MSAADA: Tablet hainstall WhatsApp lakini Apps nyingine zipo sawa

Moshi wa Kumbi

Senior Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
171
Reaction score
102
wakuu msaada
nikifanya installation ya whatsApps kwenye tablets inaandika not insalled.*an existing package by the same name with a confliting signature is already installed*
 
Ukienda kwenye settings, apps ukiangalia hakuna app ya whatsapp huko ukaiondoa.
Au download app manager lite, then angalia kama kuna app ya whatsapp iondoe na kila ktu chake
 
wakuu msaada
nikifanya installation ya whatsApps kwenye tablets inaandika not insalled.*an existing package by the same name with a confliting signature is already installed*
Unajaribu kuinstall kutoka Play Store au umedownload apk?
 
Whatsapp uwa haikubali kuinstall kwenye tablet, labda kama utainstall modded/customized versions za whatsapp kama gbwhatsapp na zingine
 
Nilikuwa na TABLET yangu mkuu whatsapp ilikuwa inapiga kazi vizuri tu itakuwa yeye kuna kitu anakikosea hapo
 
Labda kama ni modified version ya whatsapp. Soma minimum requirements za whatsapp

Screenshot_20171020-204253.png
 
Labda kama ni modified version ya whatsapp. Soma minimum requirements za whatsapp

View attachment 613388

Ila si kila kinachoandikwa kina maanishwa anyway mi nilikuwa natumia ile ya kupakua playstore kabisa na kifaa kilikuwa huawei mediapad10 link ya inch 10 kama skosei na si hizi gb whatsapp au whatsapp plus labda kama pia playstore waliiweka modification ya whatsapp sawa boss wangu maana naongea kulingana na experience yangu kwa hili
 
Back
Top Bottom