Unafahamu ya kwamba hadi sasa WhatsApp haitengenezi mapato yeyote?

Wakuu Whatsapp imegoma kwangu, naombeni msaada
Screenshot_2017-10-10-19-58-16.png
 
facebook kashaieka kwenye system sasa hivi, chat na mtu whatsapp kesho ukiingia FB unamkuta kwenye suggested friend, wanakuletea um add na Facebook,

data zetu wanazozipata zina thamani kubwa sana kushinda hivyo visenti walivyoinunulia whatsapp.
mkuu sijakusoma, kivipi yan inawapa faida?
pesa ya kuiendesha inatoka wap?
 
haijagoma
ila imetuonesha kuwa Whatsapp inataka uiunge na internet kwa kulipia bundle
hivyo ni UONGO kuwa Whatsapp inatoa huduma Bure
kwa hiyo whatsapp bila Data huwezi kuchart ni lazima ukanunue DATA na wala si muda wa maongezi
 
[QUOTE="Elli, post
haijagoma
ila imetuonesha kuwa Whatsapp inataka uiunge na internet kwa kulipia bundle
hivyo ni UONGO kuwa Whatsapp inatoa huduma Bure
kwa hiyo whatsapp bila Data huwezi kuchart ni lazima ukanunue DATA na wala si muda wa maongezi[/QUOTE]
Uongo ni upi sasa Maana sijaelewa!
 
hivi kweli hawa upload data zetu kimya kimya? make kama unaweza kukuta new updates kimya kimya(nadhani iliwahi tokea kipindi fulani watu waliamka na kukutana na kitu kipya) bila ya wewe kuwa umeupdate wala kuweka automatic update..!!!!????
 
data ndio malipo kwao, makampuni ya cm au internet yanawalipa kwa mtindo wa mb, gb, au terabyte ngapi zilizotumika katika mtandao husika
 
Back
Top Bottom