GBWhatsApp wameamua kuachia app yao ingine yenye vionjo vingi

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
2,328
2,283
Wale watengenezaji wa GBWhatsApp wameamua kuachia app yao ingine,hii ina vionjo vingi sana tofuti na instagram ya playstore
Ukiwa nayo unaweza download
Copy link
Share on whatsapp n.k
923231c2afaa6d961488bf1c9850fd74.jpg
unaweza kupakuwa hii GBInstagram hapa
 
Mkuu naomba kuuliza, hivi mpaka watoe GBinstagram, wanakuwa wamewasiliana na Insta au ndio wanapiga juu kwa juu
Kuna makubaliano fulani hua yanaanyika ndio maana wanapewa code za app,wao wanadesgn na kuboresha baaz ya vipengele.
Kingine hawawek playstore 7bu watasumbuana kibiashara
 
Yaan naiogopa gb ujue simu yangu ya mwanzo ghafla tu ilizima sijui ni gb au vipii lakini toka hiyo siku naiogopa kabisa kuitumia naipenda sana app ya gb ni nzuri sana
Hahaha, pole asee. Mimi tangu niitumie mpaka nikaiacha sijawahi kupata shida yoyote
 
Back
Top Bottom