kwa pc au ps3?Ninaomba msaada kwa yeyote anaefaham namna ya kudownload magemu kma GTA 5 free mtandaoni na site zake pia anijulishe
Hii ocean of games imetulia sana na setup zake hazijawahi kuniangusha japo size zake usiwe na bando ya mawazo.
Duuu nmeangalia requirements nmekuta et mmpaka PC iwe na ram 2gbHii ocean of games imetulia sana na setup zake hazijawahi kuniangusha japo size zake usiwe na bando ya mawazo.
Highly compressed gamez sometimes zinazingua sana hasa kwa wale wanao download kwenye site zisizo rasmi.
Game sio ya kitoto mkuu Pc zenye specification ndogo haichezi hiyo hata ukiwa na RAM 64 lakini kama ni first generation game haicheziDuuu nmeangalia requirements nmekuta et mmpaka PC iwe na ram 2gb
sasa ww ulitegemea GT V itahitaj ram ya ukubwa ganii...tena hata hiyo 2gb ni ndogo sana hutaenjoy kulichezaa, sio Super Mario hilo chief...Duuu nmeangalia requirements nmekuta et mmpaka PC iwe na ram 2gb
Mkuu unaweza kunipatia links za kudownload recent games za PS3. Ninatanguliza shukrani.
yeah hapa zipo converted kabisa wewe kazi yako ni kizocopy kwenye mashine kwa kutumia multmanMkuu unaweza kunipatia links za kudownload recent games za PS3. Ninatanguliza shukrani.