Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanajamii nimearibikiwa na Tv yangu hapa ya LG sijajua tatizo lake mpaka saivi tatizo lake nikama inavyoonesha kwenye picha na pale unapoiwasha inatokea mwanga hafifu usio wa kawaida na screen...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wanabodi naomba kufahamishwa zaidi jinsi ya kufanya kazi ya mtandao hasa kufungua website yangu (blog).je ni kivipi naweza fungua. Namna ya kuiendesha na kuifanyia matangazo. Na kwa namna...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
hi niggas,,,,msaada plzzz nlikua naifuta phantom 6plus tecno ili ni update new software na nikafanikiwa kuifuta na kui update...imei ni null kama kawaida nahitaji kuzi repair....software zangu...
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Nimesubiri refund walisema ni siku 15 au 20 nimesubiri mpaka hamna nilichopata nifanyeje customer care wao wanajibu maswali mepesi tu Naumia sana kwanini wanachukua muda hivi kurefund au huwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu msaada nikifanya installation ya whatsApps kwenye tablets inaandika not insalled.*an existing package by the same name with a confliting signature is already installed*
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ninaomba msaada kwa yeyote anaefaham namna ya kudownload magemu kma GTA 5 free mtandaoni na site zake pia anijulishe
1 Reactions
13 Replies
10K Views
Programmer atengeneze app ya kuzuia kudownload pic au video moja zaidi ya mara moja maana picha ya lissu nishafikisha 1gb kwa picha ile ile. Nadhani itanunuliwa hiyo app
0 Reactions
3 Replies
829 Views
As per subject above hereby is some problems I have came with, In my laptop on typing the arobase by pressing Shift+2 it brings this symbol " please help me with some tricks to recover this...
0 Reactions
3 Replies
906 Views
Hello wadau nimwshindwa kudownload gbwhats app new version 2017 nifanyeje jaman naombeni link ya moja kwa moja au mwenye msaada mwingne plssss wadau shukrani
0 Reactions
2 Replies
635 Views
Wataalamu wa mambo, natamani kuifahamu hii application inatumikaje kwenye smartphone
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Wakubwa Kwema naomba msaada wa jinsi ya kurudisha gmail account, Nikiwa katika matumizi yangu ya kawaida ya simu yangu nilipata ujumbe kwamba nimekua signed out of google a/c nikajaribu kurudi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Microsoft Edge Tusikariri tu firefox na Google chrome,mpaka sasa sijaona browser ya kuichomoa Microsoft edge, ni edge kweli.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni kweli kabisa, kuna malengo ya kutoa huduma za kibiashara kwa makampuni kupitia app ya WhatsApp...ila kwa sasa hivi hakuna mapato yanayotengenezwa na watu kutumia app ya WhatsApp. Soma...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hey wadau nahitaji msaada wenu, Simu yangu imeibiwa inakama siku tatu toka ipotee, kila nikijaribu kuipiga namba yangu inaita mtu anapokea then haongei kwahio inamaanisha huyo mtu bado anatumia...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Watu wengi hutamani kupakua video kutoka instagram, sasa hii ni njia mojawapo ambayo unaweza kuitumia ku-download video na picha kutoka instagram.
0 Reactions
4 Replies
35K Views
Ni siku ya pili leo simu yangu hai-boot zaidi ya kuonyesha alama ya apple tu,yaani hapa ndipo mwisho wake wa kuwaka. kwa yeyote mwenye ujuzi/utaalam anipe maelekezo ya kufuata ili niinusuru simu...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Hello guys, i hope you are doing fine, Naombeni mnisaidie jinsi ya kutuma hela kwenda payoneer account
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WADAU..NATAFUTA MTU FUNDI SIMU WA HARDWARE TUSHARE TUCHUKUE FREMU AU KIBANDA TUFANYE KAZI MIMI NTAKUWA UPANDE WA SOFTWARE..HARDWARE SIPO VIZURI SANA..KAMA YUPO..NTAFUTE PM.
1 Reactions
2 Replies
831 Views
PC yangu aina ya DELL ukitia windows inasumbua na hats ikiingia window kioo hua cheusi na kuandika" Window is not genuine" nini tatizo na vipi nalisolve
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom