Zifahamu secret code za sumsung galaxy J(1ace,2,5,7)

Rasokauzu

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
520
500
Hizi hapa.......
*#06# IMEI Number

*#1234# Software version

*#12580*369# software and hardware info

*#7353# Quick test

*#0*#Test mode

*#0011# service mode

*#0228# battery status

*#0808# USB Settings
 
Aug 5, 2013
84
95
Hizi hapa.......
*#06# IMEI Number

*#1234# Software version

*#12580*369# software and hardware info

*#7353# Quick test

*#0*#Test mode

*#0011# service mode

*#0228# battery status

*#0808# USB Settings
Mkuu mimi nina Galaxy A5. Mwanzo wakati nawasha ilikuwa inachora kile kialama cha Sumsung cha mduara. Nikaja kurestore kile kialama hakiji tena zaidi inaandika tu Sumsung Android. Niingize code gani irudi ile alama?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom