Natafuta laptop

Natafuta laptop

mnyagura

Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
70
Reaction score
29
Wakuu naomben msaada ni laptop yenye specification zip na kutoka kampuni ipi nitapata kwa matumiz ya chuon tu budget yangu ni 1.4M
 
Una pesa ila hujui unachotaka kununua ukiuziwa mbuzi kwenye kikapu utalilia nani?

Ingia Google angalia unachotaka bei yake kwa hapa nchini na ubora wake sasa hiyo simu yako unatumia kuangalia tu X
 
Una pesa ila hujui unachotaka kununua ukiuziwa mbuzi kwenye kikapu utalilia nani?

Ingia Google angalia unachotaka bei yake kwa hapa nchini na ubora wake sasa hiyo simu yako unatumia kuangalia tu X
Nmekupata apo
 
Nenda fb kuna jamaa anaitwa travis macshuay anauza mabokk kwa bei nzuri, mwambie akupe pro retina, kuanzia 2015
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom