Jamii Forums' policy on system loopholes findings

Jamii Forums' policy on system loopholes findings

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,312
Reaction score
12,194
Habari wadau!..
Nina swali ningependa uliza najua moderators wanapitia hizi nyuzi pia.
Makampuni kama Google wamejitengea dau lao kubwa tu kwa mtu atakayeweza gundua any loopholes kwenye system yao, same kwa instagram, snapchat, facebook, twitter na social networks nyinginezo.
Je mfano nimegundua a loophole inayoweza fanya nikawa a first commentator hata kama Joseverest 😀 kawahi comment na me nilitakiwa onekana let say post yangu ya 24 lakini nikaweza ifanya post yangu kuwa ya 1 then alokua wa 1 comment akawa wa 2..
Je Jamii Forums wanaweza nilipa kwa kugundua bug hiyo?, na dau lao kama walishawahi tangaza ni kiasi gani?, na kama hawajawahi tangaza wana mpango wa kuweka dau?...

wick
 
Ngozi nyeusi huwa wagumu sana kukubali mapungufu na inapotokea akakubali basi huishia kusema ''asante'' kwahiyo usitegemee kitu chochote kutoka kwa ngozi nyeusi. Yy ataona km umeingilia mambo yake na mwisho wa siku atakushitaki.
Hongera km umegundua tatizo hilo ila cha kufanya fanya iwe siri yako na km ukishindwa show them their weakness.
 
jamiiforums wanatumia xenforo hivyo ukigundua loop umegundua ya xenforo na sio jf, unatakiwa ukaripoti kwa hao xenforo. then wao watapatch na jf itakuwa salama.
 
jamiiforums wanatumia xenforo hivyo ukigundua loop umegundua ya xenforo na sio jf, unatakiwa ukaripoti kwa hao xenforo. then wao watapatch na jf itakuwa salama.
xenforo wanalipa kwa unavojua!!??..
 
Ngozi nyeusi huwa wagumu sana kukubali mapungufu na inapotokea akakubali basi huishia kusema ''asante'' kwahiyo usitegemee kitu chochote kutoka kwa ngozi nyeusi. Yy ataona km umeingilia mambo yake na mwisho wa siku atakushitaki.
Na hapo ndipo tunaposhindwa endelea sasa
 
Ngozi nyeusi huwa wagumu sana kukubali mapungufu na inapotokea akakubali basi huishia kusema ''asante'' kwahiyo usitegemee kitu chochote kutoka kwa ngozi nyeusi. Yy ataona km umeingilia mambo yake na mwisho wa siku atakushitaki.
Hongera km umegundua tatizo hilo ila cha kufanya fanya iwe siri yako na km ukishindishwa show them their weakness.
Na unaweza kupigwa hata risasi zaidi ya zile za Lissu kama ni siasa ambapo kwa sasa mtu anaweza kutumia fikra za utawala wa karne ya mawe na akafanikiwa Tanzania.

Ila kwa mambo ya teknolojia kama haya ya akina Melo naamini wako fleksible zaidi maana ni kitu kinakua kila dakika na inatokana na maarifa na ujuzi mbadala wa kila mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom