MSAADA TECNO J8

MSAADA TECNO J8

BABA LEA WATOTO

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
364
Reaction score
816
Simu aina hiyo imeniletea shiida kwenye App. zikawa hazifanyi kazi hasa wassp, na jf nikaamua ku uninstall na kuintall upya tatizo likawa bado nikaamua kufanya factory resert. Sasa ili niendelee kujisajiri inainyia kweny select wi-fi networks, ili ku skip kile kitufe hakiwi active na inaendelea kusearch bila mwisho.
Asante
 
Ulitakiwa kabla ya jufany factory resert ungeback up data, lazima itakusumbua hyo
 
Mfano jf ukiidownload inagoma sabab ya network Na data ikiwa on si ndio!!!
 
Kagua vizuri hiyo data itakuwa imezima pia hata APN itakuwa inefutika ingia apn name uset!
 
Simu aina hiyo imeniletea shiida kwenye App. zikawa hazifanyi kazi hasa wassp, na jf nikaamua ku uninstall na kuintall upya tatizo likawa bado nikaamua kufanya factory resert. Sasa ili niendelee kujisajiri inainyia kweny select wi-fi networks, ili ku skip kile kitufe hakiwi active na inaendelea kusearch bila mwisho.
Asante
Si inakuomba E-mail yako na password ilokuepo awali kabla ya ku reset? Jaza sasa ili uendelee mbele kama kawa kamanda....
 
Tatizo ni hainiwezeshi kutoka kwenye kipengere hicho Wi-Fi, ile option ya ku skip haifanyi kazi kwani kutoka hapo ndo ningeweza kuendelea na taratibu zingine.
 
Tatizo ni hainiwezeshi kutoka kwenye kipengere hicho Wi-Fi, ile option ya ku skip haifanyi kazi kwani kutoka hapo ndo ningeweza kuendelea na taratibu zingine.
Chukua SIM nyingine unga Wi-Fi. Then ingiza hiyo email and password zilizokuwepo.

Kama umesahau email and password bas piga frp
 
Chukua SIM nyingine unhappy Wi-Fi. Then ingiza Hugo email and password ilizokuwepo.

Kama umesahau email and password bas pigs frp
Hieleweki."UNHAPPY WIFI" ndio nini?
 
Tafuta simu nyingine then washa hot spot halafu connect na hiyo simu yako ndio itaendelea na setting hizo za awali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom