Ulaji mkubwa wa Mb

Ulaji mkubwa wa Mb

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,710
Reaction score
2,387
Habari wakuu, aisee naomba kujua kama kuna namna yoyote yakudhibiti matumizi makubwa ya Mb,hasa nikitumia Instagram, yaani mb 600 Ku katika kwa nusu SAA inakuwa kawaida endapo nikichek short clip za insta,tofauti hata nikichek YouTube.
Msaada kama kunasehemu pengine inaruhusu data kupukutika kwa kiasi,ili nidhibiti
 
Kudhubiti hapo ni kuwaachia Instagram wenye MB.
Instagram inakula MB sana.
 
cheki opera max, google triangle, data eye au onavo,

sana sana opera max (imekuwa discontinued), jaribu kuicheki google install na apk inasaidia kusave.
 
cheki opera max, google triangle, data eye au onavo,

sana sana opera max (imekuwa discontinued), jaribu kuicheki google install na apk inasaidia kusave.
Well,sasa hii ita restrict how mkuu,endapo nimeingia huko insta au YouTube,au pengine nlijua labda kuna aina flank za app zinarun background hivyo Si rahisi Mimi kujua
 
Well,sasa hii ita restrict how mkuu,endapo nimeingia huko insta au YouTube,au pengine nlijua labda kuna aina flank za app zinarun background hivyo Si rahisi Mimi kujua
server za opera zinakaa katikati yako na hao insta na youtube, unapoplay video opera wanaichukua toka instagram wanaicompress inakuwa na mb kidogo kisha wanakutumia wewe uiplay.

kwani huna uhakika kama ni insta au app gani inakula hizo data?
 
Nikicheki kwenye data usage naona Insta inaongoza,then inafuata YouTube, 3rd WhatsApp
 
Hakuna jinsi zaidi ya kuondoa instagram kwenye simu yako, Youtube unaweza kupunguza quality ya video ukaweka 144p ambayo haili sana data.
 
Duh,ushauri wenu ni sawa na nguvu za giza[emoji144]
 
Back
Top Bottom