Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH SHOɹ┴ƆC∩┴ ⅄Y∀ ʞ∩ W∀ʞEƎ ℲFOlpeɹ Wengi Katika Watu Tunajua Ku Make Folder Kwa Ku -Right Click Kwenye Desktop -Kisha Ku bofya NEW -Kisha Kubofya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
habari ndugu jf naomba kuuliza kama ipo hiyo app ipo inayoweza kujua mtu naempigia au anaenipigia yuko maeneo gani nijue. asanteni nawasalisha
1 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa anaejua application nzuri ya simu kwa television za ndani ya tanzania. yani TV APP naomba anisaidie .
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau Naomba kupata elimu kuhusu 32bitz na 64bitz .Mara nyingi nimekuwa nikiona Baadhi ya Windows na program mbali mbali kufanya kazi na 32/64bitz ama 32 na 64bitz kwa pamoja.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ninatatizo la kutuma picha kwenye whatsapp nimejaribu kutuma picha kutumia whatsapp picha haziendi na mwishoni napata ujumbe unaosomeka hivi :Certificate Exception,certificate was issued by an...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Chini ya mwezi mmoja baada ya Apple kutangaza sim zake mpya za Iphone 8, 8+ na Iphone x, kampuni hiyo imepunguza uzalishaji wa Iphone 8 na Iphone 8+ baada ya kukosa mahitaji makubwa kama ilivyokua...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamvi mwenye key za window 7 msaada.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kwa wale watumaji wa mtandao wa Telegram mnafahamu kwamba ndani ya telegram kuna 'bots' ambazo zinaweza kufanya kazi mbalimbali kama; kukutumia habari mbalimbali, kuconvert...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu habari! Nahitaji kuwa professional photographer, je ni wapi naweza kupata wataalam ninapoweza kujifunza kwa hapa dar es salaam na gharama za kufundishwa zikoje.Natanguliza shukrani kwa...
1 Reactions
1 Replies
977 Views
Takribani miezi 3 nimenunua laini ya simu kutoka kampuni ya simu ya umma yaani TTCL, baada ya kuja na kufanya promotion ya huduma zao pamoja na vifurushi mbalimbali ambavyo mteja atafaidi baada ya...
7 Reactions
25 Replies
8K Views
Kampuni mamá ya Tigo na Zantel (Millicom ) inasemekana wanafanya mazungumzo ya Siri ma kampuni ya Zimbabwe (Econet wireless), ili Econet wazinunue hizo kampuni mbili za Tanzania. Wanakimbia nini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman,mwenye PowerIso inayoweza kucreat image windows 7 Anisaidie
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeamini cha kwanza kuogopa ni Mungu cha pili ni Teknolojia, Hii video inaonyesha vifaa vya kiintelijensia ambavyo wapelelezi wengi huvitumia kukusanya taarifa Nahisi hata akina Lema na nassari...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
mnatumia printer zipi kuprint mabango makubwa kama ya barabarani na ni shingapi printer hizo je naweza pata hapa Tanzania na pia mnatengeneza na kuprint kwa tshs ngapi? na paper hizo zinaitwaje...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamana naomba mwenye knowledge on how to remove password kwenye simu za batani (itel, tecno) ni software gan inaweza kufanya hivyo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji msaada jaman,Nina flash yangu ni 64 GB Ila nikiiwekea vitu either programs/vingine muhimu havfunction ko naomba msaada wenu namna ya kufanya ili vifunction Ahsante
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi huwa napenda kutumia programu nyingi nyingi katika utendaji wangu wa kazi wa kila siku , nimeonelea niandika kidogo kuhusu programu hizo ambazo huwa nazitumia katika shuguli hizo ingawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada,kila nikitaka ku copy document yoyote kwenye Pc yangu naambiwa you need administrator permission to copy this file,tatizo ni nini? natanguliza shukrani!
0 Reactions
3 Replies
803 Views
Nahitaji kujua utofauti Kati ya MICRO PROCESSOR na PROCESSOR vinanichanganya nahitaji msaada wenu wadau
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Back
Top Bottom