Naomba maujuzi. Jinsi ya kuinstall whatsApp(Apk) in Nokia Asha 200

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,526
Habari zenu wazalendo wa JF.

Naomba msaada wa namna ya kuinstall WhatsApp in Nokia Asha 200 kwa wale wajuzi wa mambo haya.

So itakuwa vizur kama mtu akiniwekea link hapa ya kudownload moja kwa moja

Be blessed all JF member.
 
Habari zenu wazalendo wa JF.

Naomba msaada wa namna ya kuinstall WhatsApp in Nokia Asha 200 kwa wale wajuzi wa mambo haya.

So itakuwa vizur kama mtu akiniwekea link hapa ya kudownload moja kwa moja

Be blessed all JF member.
Simu zinazotumia apps zenye format ya jar na sis zinasumbua sana upande app.
Android ni mpango mzima. Kwenye nokia belle 500 whatasapp haifanyi kazi
 
nahisi nilishafanyanga hivi kama sitakuwa nakosea miaka ya nyuma nilitumia nokia 201kam sikosei nikadownload nikaichukuwa hio whatsapp kwa memory card Lisha nikaiweka hio memory kwa nokia200nikaifanyia install
 
Tafuta simu za kisasa hizo utasumbuka sanaaa analog hizo
Nina Nokia asha 210 ambayo inawhatsapp, nikikosa kazi ya kufanya najaribu kuifungua... Asee sijawahi kukamilisha proccess, sembese hiyo ambayo hata haikuandaliwa kabisa kwa matumizi ya whatsapp...
Namshauri aachane na wazo hilo, afuate ushauri wako
 
Back
Top Bottom