Black screen kwenye computer

Racso G

Member
Jun 19, 2017
57
29
Msaada wenu wadau, laptop yangu ilizimika nikiwa naangalia movie baada ya umeme kukatika, ulivo rudi nilipo iwasha iliwaka kawaida na nakuandika jina la brand baada ya hapo haioneshi kitu. Ni black 2..
 
Kurestart je, haioneshi kitu
Zima halafu washa tena. Hiyo ni kawaida kwa pc. Ishawahi nitokea hasa ninapocheza game huwa nachomoa battery sasa umeme ukakatika inajizima. Ukiwasha inaonesha black screen. Unazima na kisha una washa ila lazima ichukue muda kidogo mpaka ikae sawa
 
Shukrani mkuu, ngoja nijaribu
 
Ndio madhara ya kutumia windows za kuchakachua. Nunueni mpya na muwe mna upadate kila wakati kama hamna uwezo njooni kwenye ulimwengu wa linux...
 
Shukrani mkuu, ngoja nijaribu
Km itashindikana jaribu zaidi ya mara moja. ikishindiiana hapo repair window hii itasaidia kutopoteza vitu vyako hasa mafile.
Fanya hivi mkuu kabla haujarepair kipind unawasha jaribu kubonyeza kuuboot window km unapiga window ikishaleta bonyeza ESC kuexit nafikiri itasaidia
 
Ndio madhara ya kutumia windows za kuchakachua. Nunueni mpya na muwe mna upadate kila wakati kama hamna uwezo njooni kwenye ulimwengu wa linux...

Siyo kuniaminisha kile unachoamini ww. Utanunua vitu vingapi? Kuna cracked program zinapiga kazi vizuri na zingine wala siyo crack.
Ukiingia sites za crackers kunaprogram zimewekwa zikiwa na serial key kwahiyo ww uliyenunua na mm tupo sawa sbb program zinafanya kazi.
Kuna keygean niliipata ambayo hii inatoa serial key kwa product za hetman zote yaan hetman NTFS recovery, word, fat, excel, enraser na partition recovery.
Unaenda google unadownload program ya hetman km word kisha unarun keygean unaandika jina kisha unacalculate inakupa serial key unaactivate program yako na mambo yanaenda murua sasa ww uliyenunua sijui tunazidiana nn ktk ubora wa program.
Kununua siyo suluhu ya kusema unatumia kitu original kuliko yule aliyedownload bure na kisha kupata serial key
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom