Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna pc inaiyo shida haitaki kufanya setting yoyote, haitaki kukonect na hotspot, tatizo ni nn wakuu
0 Reactions
2 Replies
757 Views
wadau naomba kufahamishwa setting nzuri ya internet kwa mtandao wa tigo.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu wangu: Kuna network moja nafanya nayo kazi online sasa imefkia hatua ya kupokea payment na wanataka kutuma kwa cheque lakini wamesisitiza niulize kwanza je naweza ku cash...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Tunapenda kuwatangazia wale wanaopenda Kujifunza Kuandika Code kwa Java na Kuweza kutengeneza mobile application kuwa Tutakuwa na Kozi Mbili moja ikianzia October 25 na nyingine Itaanza Disemba...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH Kama Ilivyokuwa QADARI Ya Allaah, Leo Tutajaribu Kuelekezana Njia 2 Za Ku Screenshot Kwa Kutumia VLC Media Player Na'am, IKO HIVIIIIIII Kabla Ya...
1 Reactions
1 Replies
964 Views
Wakuu nisaidieni Nna photocopy mashine ni cañón NP6317 ina niandikia E004 na imegoma ku fanya kazi je nifanyeje ku salve Tatizo?
0 Reactions
4 Replies
745 Views
Model :Lenovo G50-45 PROCESSOR:AMD E-6010 1.35GHZ WITH RADEON R2 GRAPHIC CARD HDD:460GB COLOR:BLACK OS: WINDOWS 10 PRO 64 BITS BATTERY: 2-3HOURS CONDITION: EXCELLENT USB: 3.0 HAINA TATIZO LOLOTE...
0 Reactions
2 Replies
763 Views
kuna jina nilikuwa natumia sasa naona imefika kipindi sivutiwi nalo nataka nibalishe jina la blog linalo display mbele ya msomaji wa blog naomba msaada natumia blogger
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna watu wanasema russia hawezi kupambana na U.S, kiukwel marekani na NATO kwa ujumla wanauwezo mkubwa lakini hawako tayari kwenda kupambana na russia maana hawatabaki salama, na kunauwezekano...
4 Reactions
1 Replies
5K Views
Nimeinstall window ten nadhan iyo genuine ina expire in Feb naomba mwenye key nikijaribu kuapdate online haikubal
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Shukran zenu wakuu Jana nilidownload IDM latest version nilipoinstall ikaniandikia your registered with fake serial number alafu inaleta kameseji ka kuhitaji First name:................. Last...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Eti wanandugu nisaidieni namna ya kupata hii antivirus online pamoja na activation key yakee kama una link naomba nisaidie kuweka hapa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello wanajamvi poleni n amajukumu ya hapa na pale. Nataka nitoe somo kidogo kuhusu namna ya kuactivate windows 10. Hatua hii itafix pia matatizo madogomadogo ya windows kama "Your product...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nina Samsung galaxy tab 10.1, inawaka lakini ikifika kwenye logo 'SAMSUNG' ina-stuck hapo hapo. Nimejaribu ku-flash custom rom kwa kutumia Odin3 lakini ina-fail. Pia haiwezi hata kwenda kwenye...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Naomba msaada wa link ya kudownload bluestacks. Natumia window 8
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Muonenekano wa Simu Janja au Smart Phones mbali mbali ifikapo 2018 na kuendelea Mambo ya Teknolojia haya
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari JF, Mimi ni mtaalamu wa masuala ya IT na nimekuwa nikijihusisha na masuala ya kutengeneza websites na blogs kwa muda mrefu sasa, kwa yeyote anaehitaji kutengenezewa blogu kwa bei rahisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu, nilikuwa natazama TV nyumbani Mara umeme ukakatika, nikasahau kuzima kwenye soketi. Mara umeme ukarudi kwa nguvu,ghafla nikasikia TV ikiongea sebuleni nlipoenda ili niendelee...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
msaada anaefahamu namna ya ku unlock modem ya smile 4g pls kwa sasa inatumia smile peke ake na vifurushi vyake n gharama sana ukilinganisha na mitandao mingine
0 Reactions
0 Replies
2K Views
salaam wataalam, sijui nitumie Kiswahili gani ili niweze kueleweka vizuri na kupata msaada wa haraka, jana niliiflash/kuirudisha upya PC yangu kwa sababu ilikuwa inagoma sana hata kwa vitu vya...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Back
Top Bottom