Sikushauri Mkuu kununua Nexus 5x, pamoja na Nexus 6p maana zina bootloop issue, itakufia mikononi mwako ungesubiri Pixel zishuke bei kama wewe ni mpenzi wa stock Android.
Lakini kama wewe umeipenda sana hiyo simu temporary fix ya hiyo tatizo ni hii hapa
Nexus 5X Bootloop Fix Finally Lets You Boot the Phone kuna watu imewasaidia, kuna watu aijawasaidia.
Seller niliomuona nazo mwaka Jana alikuwa huyu hapa Facebook
High Life Tanzania
16gb 600,000 32 gb anauza 800,000
Au kwa instagram anaitwa High Life Tanzania. Mpigie kama bado anazo pamoja na kunegotiate bei.