The GPS is owned and operated by the U.S. Department of Defense but is available for general use around the world.
Tuvisusie vitu vyao hawa mabeberu...
Kama kichwa Cha habar hapo juu!
Ninayo TV tajwa hapo juu nilipoinunua haikua na decoder Ila ikaunguza mother board ikabidi Ninunue motherboard mpya!
Motherboard hii niliyouziwa inaonekana Ina...
Habari zenu wanajamvii...
Simu yangu spark 2 KA7 katika harakati za kupanga vitu imedondoka na kioo kimepasuka sana ila bado inafanya kazi vizuri tu.. nauliza naweza kupata kioo kipya kuirudisha...
Waku habari zenu ni matumaini yangu mpo poa
Niende kwenye mda moja kwa moja nina mpango wa kufungua blog yangu hii ni kwajir ya kuongeza kipato pia nina muda wa kufanyia kazi iyo blog mana muda...
Elmurasolutionsltd
All types of IPhone Display Original
Cables, Charger, earphone with Warranty
We can Fix your broken Display wherever you're. We offer 3D/4D Glass Protector after fixing...
Wakuu..
Nina laptop niliuziwa ikiwa na Bios passoword bila kujua,
Naomba mnisaidie je hii password inaweza kutoka? /
Na pia nifanyeje ili niweze kuweka window maana nimekwama kabisa.
Chief-Mkwawa
Nina pc yangu aina ya acer shida inakuwa kuwaka inachukua dakika 20 kwa kujirestart mara system recover nimebadili window bado tatizo linaendelea naomba yeyote mwenye uelewa anisaidie plz
Wadau nipo katika tukio la harusi. Sasa jamaa anayechikua video anaweka hiki kifaa kuelekea eneo analochukua picha. Sasa sijajua ni kitu gani hiki na kina kazi gani. Naombeni mnijuze wadau nitoe...
Nilifungua account ya Facebook nikaweka mfumo wa two security nikawa natumia kama kawaida sasa tatizo ni kwamba nikitaka Ku login ili nitumie code code haitumwi NA Facebook nilisha lipoti tatizo...
Wadau naomba mwenye kuijua app kwa ajir ya kufanyia mixing itakayonipa mb chache ila quality nzuri..
Nimejaribu kutumia Virtual Dj ila inanipa mb nyingi sana kwa mixing isiyozidi hata 1hr inaleta...
Free Download Windows Password Reset
PCWin Recovery w/ Windows Password Reset
Reset Windows Passwords
Easily and safely reset any Windows password (including the Administrator password) to...
Habari za mchana wadau,
Dunia siku hizi imekuwa kijiji kimoja (global village) thanks to technology. Sasa, kwa mujibu wa hili, naamini pia web design/development tanzania imekuwa.
Endapo wewe ni...
I hope all mko poa...nianze tu katika kuomba ushauri wenu ni hivi,mimi ni graduate wa electrical engineering katika moja ya vyuo hapa nchini tena kikubwa tu ila ninahisi kama I don’t qualify to be...
Wakuu, hivi kuna ambaye anatumia lile bando letu la kushusha vitu (heavy weight) 1000 internet bure kuanzia saa 6 mpaka sa12 asbh
Maana mara ya nne hii nachoma buku zangu hela wanachukua na...
Habari wapendwa. Naomba msaada wa anaejua Jinsi ya Kujiunga na jumia.
Nina bidhaa zangu nataka Niwe nauza huko.
Shida ni jee najiungaje. Mwenye kujua Tafadhali anieleweshe mnaamini humu Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.