Ndio inawezekana boss,tuwasiliane kwa msaada zaidi.Habari zenu wanajamvii...
Simu yangu spark 2 KA7 katika harakati za kupanga vitu imedondoka na kioo kimepasuka sana ila bado inafanya kazi vizuri tu.. nauliza naweza kupata kioo kipya kuirudisha kama mwanzo? Kwa wanaofahamu wanijuze...