Wajuzi wa computer msiache kupitia uzi huu

Wajuzi wa computer msiache kupitia uzi huu

skate-board

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
490
Reaction score
581
Wakuu..
Nina laptop niliuziwa ikiwa na Bios passoword bila kujua,
Naomba mnisaidie je hii password inaweza kutoka? /
Na pia nifanyeje ili niweze kuweka window maana nimekwama kabisa.
Chief-Mkwawa
 
Wakuu..
Nina laptop niliuziwa ikiwa na Bios passoword bila kujua,
Naomba mnisaidie je hii password inaweza kutoka? /
Na pia nifanyeje ili niweze kuweka window maana nimekwama kabisa.
Chief-Mkwawa
To reset the password, unplug the PC, open the cabinet and remove the CMOS battery for approx. 15-30 minutes and then put it back. It'll reset all BIOSsettings as well as thepassword and you'll need to re-enter all settings. If it fails, then try to remove the battery for at least one hour.
PITIA GOOGLE KARIBU KILA KITU KIKO HUKO
 
kuna Bios password za aina mbili.

- startup password
- bios setup password

zote hizo kama huzijui , basi inategemea na aina ya laptop. Laptop za kisasa ni ngumu sana kutoa bios password. Ukitoa cmos battery na main battery kwa masaa kadhaa na password isipotoka basi ndio imegoma hiyo.

Kama laptop yako imewekwa bios setup password, inamaana unaweza kuiwasha lakini huwezi kufanya changes za bios kama vile ku Boot from other device. Lakini bado unaweza kupiga window kwa kuanza Setup kutoka kwenye cd/flash/hdd ukiwa ndani yaani wakati computer inarun na sio kuBoot kuanzia mwanzo.
Wakuu..
Nina laptop niliuziwa ikiwa na Bios passoword bila kujua,
Naomba mnisaidie je hii password inaweza kutoka? /
Na pia nifanyeje ili niweze kuweka window maana nimekwama kabisa.
Chief-Mkwawa
 
Mkuu kama hiyo laptop yako ni modern hapo umeumia ifanye scrapper haitokii
 
hapo kama njia hizo tajwa hapo juu haijafanikisha kuiondoa njia nyingine ni kuondoa Bios chip EEPROM ambayo utaitoa kabisa (uwe na ujuzi katika soldering(SMT,SMD)) kisha weka CMOS baterry usitumi batery yake weka power cable kisha washa chap.na kuchomoa kisha rudishia ile chip kwa kuichomea upya. tatizo litakua limekwisha. kuna wakati bios hucorupt download na uflash kawaida.
 
Back
Top Bottom