Naombeni kujua jina la hiki kifaa na kazi yake

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,194
Wadau nipo katika tukio la harusi. Sasa jamaa anayechikua video anaweka hiki kifaa kuelekea eneo analochukua picha. Sasa sijajua ni kitu gani hiki na kina kazi gani. Naombeni mnijuze wadau nitoe ushamba
Screenshot_20190914-212102.jpeg
 
Kinatumika kuongeza mwanga upande ambao video cameraman anauchukua

It is used to illuminate towards the side where videoshooting is taking place.
 
Ina maana mkuu kweli hujui kazi ya hicho kifaa,?
Sema tu ulikua unatuzuga ili unywe ile shampeni peke yako sio poa🏃
 
Hio kitu Kama stand inaitwa Blachet na hio inayopachikwa kwenye Blacket inaitwa speedlight kwahivyo uyo cameraman Kwanza hakua anashoot Bali alikua anapiga picha na alitumia vifaa hivyo ili kumsaidia kupata angle nzuri ya picha yenye mwanga wa kutosha kupitia vifaa hivyo...
pentagon_store-20190901-0003.jpeg
camera_bay-20190809-0001.jpeg
camera_bay-20190809-0002.jpeg
 
Back
Top Bottom