LG TV '32 KUIUNGA STARTIMES

fakenology

fakenology

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Messages
887
Points
250
fakenology

fakenology

JF-Expert Member
Joined May 3, 2012
887 250
Kama kichwa Cha habar hapo juu!
Ninayo TV tajwa hapo juu nilipoinunua haikua na decoder Ila ikaunguza mother board ikabidi Ninunue motherboard mpya!
Motherboard hii niliyouziwa inaonekana Ina built in decoder maana Kila nikisearch channels za kwenye cable inaniletea na channels za Startimes!
Inashika channels 68 Ila zinazoplay ni 2 tu! TBC1 na StarGuide
Je naweza kujiunga na huduma za Startimes kwa kutumia hii decoder ya kwenye tv Ila nikawa nailipia nione channel za kulipia?
Nikisema Ninunue card hii tv yangu Haina sehem ya kuwekea card!

Wadau naomba mnisaidie namna ya kufanya maana nataka nisev hela ya kununulia decoder ya Startimes!

Nimefika kwenye duka la Startimes jamaa amedai Hadi Ninunue card ndio nione na hii tv yangu Haina card slot!

img_20190911_121816-jpeg.1204484
img_20190911_150843-jpeg.1204485
1568203921026-jpeg.1204486
 
david steve

david steve

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Messages
629
Points
500
david steve

david steve

JF-Expert Member
Joined May 17, 2015
629 500
hizo channel hua zinashika kuanzia saa 6 au 7 usiku siku nyingine mpaka saa 8 na ni zote znaonesha bila hata kua na smartcard ila ikifika asubuhi tu zinakata
 
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,451
Points
2,000
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,451 2,000
kwa sasa tv yako imekuwa na internal Dvb t2 decoder, ambayo ni universal kwa ajili ya kukamata free channels tu, hapo huwezi kutumia huduma za startimes. Lazima ununue decoder nyingine.
Kama kichwa Cha habar hapo juu!
Ninayo TV tajwa hapo juu nilipoinunua haikua na decoder Ila ikaunguza mother board ikabidi Ninunue motherboard mpya!
Motherboard hii niliyouziwa inaonekana Ina built in decoder maana Kila nikisearch channels za kwenye cable inaniletea na channels za Startimes!
Inashika channels 68 Ila zinazoplay ni 2 tu! TBC1 na StarGuide
Je naweza kujiunga na huduma za Startimes kwa kutumia hii decoder ya kwenye tv Ila nikawa nailipia nione channel za kulipia?
Nikisema Ninunue card hii tv yangu Haina sehem ya kuwekea card!

Wadau naomba mnisaidie namna ya kufanya maana nataka nisev hela ya kununulia decoder ya Startimes!

Nimefika kwenye duka la Startimes jamaa amedai Hadi Ninunue card ndio nione na hii tv yangu Haina card slot!

View attachment 1204484View attachment 1204485View attachment 1204486
 
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
3,865
Points
2,000
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
3,865 2,000
kwa sasa tv yako imekuwa na internal Dvb t2 decoder, ambayo ni universal kwa ajili ya kukamata free channels tu, hapo huwezi kutumia huduma za startimes. Lazima ununue decoder nyingine.
Kama yangu Mkuu inaninyima Raha sa hv inakamata channel za IPP tuu hakuna TBC
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
33,198
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
33,198 2,000
Ngoja waje kukuelekeza...

Cc: mahondaw
 
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,659
Points
2,000
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,659 2,000
Kama kichwa Cha habar hapo juu!
Ninayo TV tajwa hapo juu nilipoinunua haikua na decoder Ila ikaunguza mother board ikabidi Ninunue motherboard mpya!
Motherboard hii niliyouziwa inaonekana Ina built in decoder maana Kila nikisearch channels za kwenye cable inaniletea na channels za Startimes!
Inashika channels 68 Ila zinazoplay ni 2 tu! TBC1 na StarGuide
Je naweza kujiunga na huduma za Startimes kwa kutumia hii decoder ya kwenye tv Ila nikawa nailipia nione channel za kulipia?
Nikisema Ninunue card hii tv yangu Haina sehem ya kuwekea card!

Wadau naomba mnisaidie namna ya kufanya maana nataka nisev hela ya kununulia decoder ya Startimes!

Nimefika kwenye duka la Startimes jamaa amedai Hadi Ninunue card ndio nione na hii tv yangu Haina card slot!

View attachment 1204484View attachment 1204485View attachment 1204486
TV zenye DVB-T2 na vingamuzi vyote vya namna hii inabidi uelevate antenna kiwango kinachotosha na kwa Dar lazima ujue direction ya kuelekeza antenna....Mfano kuna kipindi nilikua nasikia inbidi uelekeze "Makongo Juu" kwa wakazi wa Dar...lakini pia unaweza scan channel kwa kutumia Frequency za Terrestrial TV unaye mtarget actually yule mwenye Local TV nyingi zaidi ndo atakua target!
Otherwise random scan kama umeelekeza antenna direction iliyo sahihi utapata channel nyingi zaidi!
 
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,659
Points
2,000
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,659 2,000
TV zenye DVB-T2 na vingamuzi vyote vya namna hii inabidi uelevate antenna kiwango kinachotosha na kwa Dar lazima ujue direction ya kuelekeza antenna....Mfano kuna kipindi nilikua nasikia inbidi uelekeze "Makongo Juu" kwa wakazi wa Dar...lakini pia unaweza scan channel kwa kutumia Frequency za Terrestrial TV unaye mtarget actually yule mwenye Local TV nyingi zaidi ndo atakua target!
Otherwise random scan kama umeelekeza antenna direction iliyo sahihi utapata channel nyingi zaidi!
Mara ya mwisho nimetumia DVB-T2 nilipata local channel kama tano hivi!
 
fakenology

fakenology

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Messages
887
Points
250
fakenology

fakenology

JF-Expert Member
Joined May 3, 2012
887 250
hizo channel hua zinashika kuanzia saa 6 au 7 usiku siku nyingine mpaka saa 8 na ni zote znaonesha bila hata kua na smartcard ila ikifika asubuhi tu zinakata
TBC NI mda wote na hiyo StarGuide
 
fakenology

fakenology

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Messages
887
Points
250
fakenology

fakenology

JF-Expert Member
Joined May 3, 2012
887 250
TV zenye DVB-T2 na vingamuzi vyote vya namna hii inabidi uelevate antenna kiwango kinachotosha na kwa Dar lazima ujue direction ya kuelekeza antenna....Mfano kuna kipindi nilikua nasikia inbidi uelekeze "Makongo Juu" kwa wakazi wa Dar...lakini pia unaweza scan channel kwa kutumia Frequency za Terrestrial TV unaye mtarget actually yule mwenye Local TV nyingi zaidi ndo atakua target!
Otherwise random scan kama umeelekeza antenna direction iliyo sahihi utapata channel nyingi zaidi!
Hivi kwa mfano Hawa Startimes hawaweze isajil serial no. Ya decoder ya tv ukawa unalipia halafu wakakuachia uwe unaangalia?
 
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,451
Points
2,000
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,451 2,000
haiwezekani kibiashara sio afya. Ni kama ulete Mita yako halafu Tanesco waisajili.

itakuwa na loopholes za kuwaibia kwakuwa dekoda inaweza kuwa na option za ku bypass vitu fulani aidha kwa kupitia njia ya updates au firmware ambazo hazikubaliani na masharti yao.
Hivi kwa mfano Hawa Startimes hawaweze isajil serial no. Ya decoder ya tv ukawa unalipia halafu wakakuachia uwe unaangalia?
 
fakenology

fakenology

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Messages
887
Points
250
fakenology

fakenology

JF-Expert Member
Joined May 3, 2012
887 250
haiwezekani kibiashara sio afya. Ni kama ulete Mita yako halafu Tanesco waisajili.

itakuwa na loopholes za kuwaibia kwakuwa dekoda inaweza kuwa na option za ku bypass vitu fulani aidha kwa kupitia njia ya updates au firmware ambazo hazikubaliani na masharti yao.
Hapo nimekuelewa Sana!
 
Ngariba1

Ngariba1

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
608
Points
1,000
Ngariba1

Ngariba1

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2017
608 1,000

Mkuu, usisahau kampuni za simu zimetuacha tutumie sim card zao kwenye simu zetu na hatuwaibii.
 
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,451
Points
2,000
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,451 2,000
tofauti ni kwenye mfumo wa ufanyaji kazi. Simcard inatake OVERALL CONTROLL ya simu yako, inakuLOCK kwenye mtandao mmoja hata ukiSearch mitandao mingine itakataa kuregister (achana na roaming).

Smart card inatambulisha Plan yako tu kwa provider na inakuwa paired na decoder kwa serial number.

mitandao ya simu inafanya mfumo tofauti wa urushaji wa taarifa kila taarifa inatumwa kwenye LINE husika. tofauti na Television Taarifa inarushwa kwa kila mtu mwenye decoder na decoder ndio inaamua kuUnlock au Laah .

angalia hii paragraph hapa chini...

A Unicast transmission/stream sends IP packets to a single recipient on a network.

A Multicast transmission sends IP packets to a group of hosts on a network.

pengine technology inavyokwenda tutaweza kupata universal tv smartcard na universal decoders.

M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,807
Points
2,000
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,807 2,000
Nje ya mada Wakuu katika hizi Sony ya 32 inch 60WD model smart na Tcl ya android smart ya 32 6500 ipi Iko nzuri kwa TZ ni user friendly maana naona sony wana Linux hapo vipi wakuu.

Chief-Mkwawa
Extrovert
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,021
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,021 2,000
Nje ya mada Wakuu katika hizi Sony ya 32 inch 60WD model smart na Tcl ya android smart ya 32 6500 ipi Iko nzuri kwa TZ ni user friendly maana naona sony wana Linux hapo vipi wakuu.

Chief-Mkwawa
Extrovert
Hii 6500 mkuu IPO mitaani kwetu? Nimeicheki Ni tv nzuri Sana Ina full HD badala ya HD ya kawaida ambayo ipo tv nyingi na pia version yake ya android Ni Android TV.
 
Ngariba1

Ngariba1

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
608
Points
1,000
Ngariba1

Ngariba1

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2017
608 1,000
tofauti ni kwenye mfumo wa ufanyaji kazi. Simcard inatake OVERALL CONTROLL ya simu yako, inakuLOCK kwenye mtandao mmoja hata ukiSearch mitandao mingine itakataa kuregister (achana na roaming).

Smart card inatambulisha Plan yako tu kwa provider na inakuwa paired na decoder kwa serial number.

mitandao ya simu inafanya mfumo tofauti wa urushaji wa taarifa kila taarifa inatumwa kwenye LINE husika. tofauti na Television Taarifa inarushwa kwa kila mtu mwenye decoder na decoder ndio inaamua kuUnlock au Laah .

angalia hii paragraph hapa chini...

A Unicast transmission/stream sends IP packets to a single recipient on a network.

A Multicast transmission sends IP packets to a group of hosts on a network.

pengine technology inavyokwenda tutaweza kupata universal tv smartcard na universal decoders.
Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri. Naomba niulize swali la ziada.

Naomba kufahamu hizi port za kuweka card (PCMCIA CARD SLOT) zina kazi gani?
 
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,451
Points
2,000
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,451 2,000
pcmcia slot ni expansion slot kwa laptop/pda za zamani , hata kuna baadhi ya TV zilikuwa na hii tecnolojia. Enzi hizo hakukuwa na High speed USB na baadhi ya laptop hazikuwa na USB pprts kabisa na baadhi vitu kama TV TUNER / SOUND CARD /MODEM / EHERNET ADAPTER havikuwepo na USB INTERFACE . Kwa hiyo Ukitaka mfano TV Tuner kwenye laptop ungelazimika kununua TV Tuner ya PCMCIA . Vivyo hivyo kama ungetaka kuUpgrade Laptop yako kwa kuongeza Modem au Wifi adapter unhelazimika kununua modem au adapter ya pcmcia.

Lakini siku hizi mambo yameadvance , Vitu vingi ni Usb, hata sound card, tv tuner, modem etc. Pia kwa vitu ambavyo vinahitaji speed kubwa hata kwenye laptop kuna PCI interfaces za kawaida na za high speed kuliko Usb.
Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri. Naomba niulize swali la ziada.

Naomba kufahamu hizi port za kuweka card (PCMCIA CARD SLOT) zina kazi gani?
 
Ilisolokobwe

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
1,755
Points
1,500
Ilisolokobwe

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
1,755 1,500
nunua card ya startimes na CAM weka ktk tv yako huna haja ya kununua kinga
pcmcia slot ni expansion slot kwa laptop/pda za zamani , hata kuna baadhi ya TV zilikuwa na hii tecnolojia. Enzi hizo hakukuwa na High speed USB na baadhi ya laptop hazikuwa na USB pprts kabisa na baadhi vitu kama TV TUNER / SOUND CARD /MODEM / EHERNET ADAPTER havikuwepo na USB INTERFACE . Kwa hiyo Ukitaka mfano TV Tuner kwenye laptop ungelazimika kununua TV Tuner ya PCMCIA . Vivyo hivyo kama ungetaka kuUpgrade Laptop yako kwa kuongeza Modem au Wifi adapter unhelazimika kununua modem au adapter ya pcmcia.

Lakini siku hizi mambo yameadvance , Vitu vingi ni Usb, hata sound card, tv tuner, modem etc. Pia kwa vitu ambavyo vinahitaji speed kubwa hata kwenye laptop kuna PCI interfaces za kawaida na za high speed kuliko Usb.
img-20190914-wa0012-jpeg.1207631
img-20190914-wa0014-jpeg.1207632
img-20190914-wa0013-jpeg.1207633
 
Forum statistics

Threads 1,336,673
Members 512,696
Posts 32,547,374
Top