Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

msaada namna ya kujua cpu ya simu bila kutumia cpu z
0 Reactions
12 Replies
3K Views
HEY GUYS......... Thefreedom is hereeeeeee. karibu tena katika katika mwendelezo wetu wa Netcat advance blackhat hacking TUTORIAL >> hack windows pc + networks ambalo ni somo litakalo improve ur...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Nini tofauti kati ya bin file na scatter file wapi tunatakiwa tutumie bin file na wapi tutumie scatter file CHIEF MKWAWA Da vinci Castr kcamp
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kampuni ya Huawei hivi karibuni kupitia kwa viongozi wake wa juu imebainisha kuwa inafikiria kutafuta mteja wa kununua biashara yake ya 5G. Huawei ni moja kati ya kampuni chache ambazo zina...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Compromise Any Network in Black hat style guys sorry sana nawezakuwa sijaeleweka kwasababu niliandika full article ila system ikasave draft ya kwanza nimekuja kupost na kuta kile nilichoandaaa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi guys.. Wiki iliyopita niliazima Computers mpakato kwa rafiki wa mtaani ili nicheki muvi, ananiamini sana so hadi usiku hua nalala nayo natumia. Basi kaniazima nimecheki series hadi saa saba...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Habari wana JF, Nimenunua simu ina miezi minne sasa, sijawahi kuidondosha wala kuigonga kwenye screen, ila chaajabu screen upande wa juu imeanza kujitouch yenyewe, yaani unatouch huku yenyewe...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Vip hali wataalam wa adsense .. ukiacha na shughuli nyingine ninazozifafanya mimi ni mwandishi wa makala mitandaoni, nilihitaji sana msaada hapa kwa wale wajuzi wa google adsense, Kwa siku huwa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Before company thinking of integrate artificial intelligence should start by building data lake The Data Lake retains ALL data. Not just data that is in use today but data that may be used, and...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Ninayo aina ya simu tajwa hapo juu. Unapo iwasha inawaka kama kawaida, ila inapotaka kuingiza mtandao tu, inajizima na kujiwasha tena. Mwanzo nilizani ni tatizo linalo sababishwa na betri kuwa...
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Hello, wataalamu wa tech kwa ujumla, niambieni ni nani au wapi ntapata provider mzuri mwenye internet yenye speed kali? Au mtandao gani wa simu au kampun gani naweza kupata hizi router au modem...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Miaka ya karibuni Artificial intelligence imekua ni hot topic hata davos ni moja ya vitu vilivyoongelewa sana. Hata nchi hasa mataifa makubwa wamekuwa wakipambana kuwa kiongoz katika Artificial...
0 Reactions
3 Replies
862 Views
Kama kuna mtu anajua au yuko tayari kujifunza na kutumia big data management software kama apache hadoop, kutengeneza artificial intelligence apps kama machine learning models na deep learning...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Natumia lugha nyepesi ili kila MTU atakama amesoma account au sociology aelewe Why artificial intelligence Kilichofanya kukua kwa AI ni ukuaji wa kasi wa unstructured data kama CCTV image...
0 Reactions
1 Replies
589 Views
Wataalamu hivi kama wewe ni Admin wa group la whatsap je, unaweza kulisimamisha group kwa muda memba wote wasiweze kusoma au kutuma sms kwa muda?????
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Helo wadau, habari zenu naomba kujuzwa kuhusu hili, Dstv exploler ni dekoda ya aina gan hasa ina nn cha ziada ambacho niliwapoteza nayo itakua tofauti na dekoda ya kawaida? Kwa anayefahamu kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa wale wanao tumia simu yenye line ya airtel wanaweza kutuma neno internet kwenda namba 232. Baada ya hapo utatumiwa text ya kuinstall ili uweze tumia internet kwenye simu yako. ni hayo tu. mia
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wenye uzoefu katika hili naombeni msaada kwenu nina hp elitebook ambayo haina mlango wa disc inatumia usb naomba nieleze hatua nilizofanya kisha wataalam mtanishauri ni wapi nilikosea Hatua ya...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Husika na mada tajwa hapo juu
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom