co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
I hope all mko poa...nianze tu katika kuomba ushauri wenu ni hivi,mimi ni graduate wa electrical engineering katika moja ya vyuo hapa nchini tena kikubwa tu ila ninahisi kama I don’t qualify to be an engineer due to the following...
1.uwezo wangu wa kutatua mambo najiona ni mdogo thought nimesoma math olevel nikafaulu vizur tu tena nilikuwa na B, adavance nimesoma pure math nayo nimefaulu kwa B ila nashindwa na mtu ambaye hajasoma...
2.Siwezi kufanya argument zikaeleweka
3.I make so many mistakes katika mambo yangu ninayofanya mpaka najishtukia
4.Niko very careless hadi vitu vya muhimu
Naombeni ushauri wenu ntawezaje kusolve hizi issues...Naamini nina akili vizur tu maana kutokea darasa la kwanza mpaka form six huwa nilikuwa sikosi katika top three za class..