Web designers wakali nchini Tanzania

Web designers wakali nchini Tanzania

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari za mchana wadau,
Dunia siku hizi imekuwa kijiji kimoja (global village) thanks to technology. Sasa, kwa mujibu wa hili, naamini pia web design/development tanzania imekuwa.

Endapo wewe ni web developer, either individual(mtu binafsi) au ni kampuni, ni vizuri kujitangaza ulimwengu ujue. Kama una project kali ambayo umeifanya na ambayo unaikubali, tuletee kwenye uzi huu.

Unaruhusiwa pia kumtaja/kumpendekeza mtu unayemkubali, na kutaja kazi/baadhi ya kazi aliyofanya.

Siku njema...
 
Back
Top Bottom