Msaada : App yenye uwezo wa kufanya mixing ya mp3

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,497
Reaction score
38,402
Wadau naomba mwenye kuijua app kwa ajir ya kufanyia mixing itakayonipa mb chache ila quality nzuri..

Nimejaribu kutumia Virtual Dj ila inanipa mb nyingi sana kwa mixing isiyozidi hata 1hr inaleta mpaka mb 700...na pia option ya mp3 inanigomea inakubali option ya Wav tu katika recording!
 
Mp3 inakubali mbona
 
VIRTUAL DJ SETUP + THEMES/SKINS

http:// fileml.com/l/0574J
 
Wadau naomba mwenye kuijua app kwa ajir ya kufanyia mixing itakayonipa mb chache ila quality nzuri..

Nimejaribu kutumia Virtual Dj ila inanipa mb nyingi sana kwa mixing isiyozidi hata 1hr inaleta mpaka mb 700...na pia option ya mp3 inanigomea inakubali option ya Wav tu katika recording!
Bila shaka itakua 'edjing mix' hiyo
 
Back
Top Bottom