MSAADA : mwenye kujua Jinsi ya Kujiunga na JUMIA ili Niwe nauza bidhaa.

Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,165
6,531
Habari wapendwa. Naomba msaada wa anaejua Jinsi ya Kujiunga na jumia.
Nina bidhaa zangu nataka Niwe nauza huko.
Shida ni jee najiungaje. Mwenye kujua Tafadhali anieleweshe mnaamini humu Kuna wanaojua. Asante sana.
Mbarikiwe
 
Mchango wenu wandugu
Ili uweze kuuza bidhaa yako jumia unapaswa ujisajili kupitia website yao kama seller (muuzaji)

1. Tembelea website jumia tanzania

2. Bonyeza menu ya jumia, kama unatumia simu ipo upade wa kushoto.

3. Kwenye hiyo menu shuka mpaka chini na utaona sehemu imeandikwa "sell on jumia" bonyeza hiyo sehemu.

4. Itakuja kurasa nyingine ikionyesha tips nenda chini na ubonyeze sehemu iliyoandikwa "start selling now".

5. Itakuja form ya kujaza taarifa zako na bidhaa unayouza,
Na mambo mengine utafahamu wakati wa kujaza form.

Link ya kujisajili kwa ajili ya kuuza bidhaa zako kwenye mtandao wa jumia ni hii hapa chini.
Sell on Jumia
 
Ubarikiwe mno mno.

Maana watu walikuwa wanachungulia tu na kukimbia.. 😍😍😍
 
Habari wapendwa. Naomba msaada wa anaejua Jinsi ya Kujiunga na jumia.
Nina bidhaa zangu nataka Niwe nauza huko.
Shida ni jee najiungaje. Mwenye kujua Tafadhali anieleweshe mnaamini humu Kuna wanaojua. Asante sana.
Mbarikiwe
Kama hutamaindi nikikuuliza, kwanini ungependa kuuza bidhaa zako jumia?
 
Back
Top Bottom