Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mambo vipi? Nimeketi sehemu nimetulia nikaona ngoja niandike post fupi ni-share some interesting news na wana JF kuhusu teknolojia, ujasiriamali na vile mambo yanavyobadilika haraka katika dunia...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Wataalamu wa mtandao, naomba kuuliza kuna app yoyote inayoweza kuhifadhi music yako iliyo kwenye simu,? namaanisha nataka kuuza simu na miziki yangu naitaka nihifadhi ili nikinunua simu mpya na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu nashindwa connect mtandao wa internet kwa kutumia hii moderm yangu yaan hii moderm inanishangaza kwa kuwa inasoma laini vizur tu majina message na mtandao unaonyesha kabisa umesoma tatizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mwenye Link ya GB WhatsApp aniwekee hapa. Nilikuwa naitumia nime restore simu nimeenda Google kuidownload inagoma..
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Forever IPTV language package (3500pcs+ HD&SD live online): Albanian Arabic Africa Brazil Bulgaria Chinese Czech Canada Cyfrowy Polsat Dutch French German Greek Hungarian Italian...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
nahitaji kununua Samsung s7 edge kea budget 400,je nitaipata brand new? naomba msaada version ipi iko poa maana naona zipo nyingi sana
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta cm aina ya LG G4...Kwa yetota anaeuza iwe used au mpya anitajie bei yake halaf anicheki kwa namba hii 0628497031...Ahsante.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna feature moja mwenye ios ambapo unaweza zuia app yoyote isi access internet. Nimejaribu kwenye android lakini sijapata namna naona kuna stop app from running in the background lakini app kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatimaye rasmi ndani ya sumsung sasa [emoji23]
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanajamvi hamjambo... Nahitaji kununua simu yenye black background maandishi yanakuwa meupe ninapoandika sms. Ninayo simu ya aina hiyo lakini haisupport baadhi ya application. Je ni simu gani...
2 Reactions
94 Replies
15K Views
Habar za wakat huu wakuu Moja kwa moja najielekeza kwenye mada huska kama inavosomeka hapo juu hivi hawa watu wa halotel na airtel wanawaza nn mpka mda huu hawajaketa 4G wakati dunia now iko...
0 Reactions
92 Replies
13K Views
China inakimbia kwa kasi ya ajabu hadi Marekani anaamua kufanya vita
1 Reactions
6 Replies
1K Views
wanakuletea mwonekano mpya wa simu ambayo camera yake ipo chini ya kioo .... fungua link kwa maelezo zaidi [Xiaomi Weekly News #10] Xiaomi Under-display Camera Technology Coming, Mi Band 4 and...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Msaada ninaomba mnipe muangaza kuhusu simu hizo zinazodai secure boot download agent file CHIEF MKWAWA kcamp Castr agudev Mtwara Smart Mgg3
0 Reactions
4 Replies
971 Views
if you know where is it found in Tanzania tell me ,I need it for my work as it has been explained below(kama unafahamu inapopatikana nchini nusisite kunijuza maana ninauhitaji nayo) Designed...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, Leo nimekutana na ubishi kidogo kati ya mtanzania wa kawaida na mtanzania anajeua maswala ya teknolojia. Mtanzania wa kawaida alikuwa anasema yeye anachoangalia kwenye simu ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa kupata kioo cha simu ya tekno phantom 6 ningependa kujua bei na mahali naweza pata natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mambo vipi wana tech?? Kuna simu yangu tecno f2 nataka kuiza ila inatumia laini ya voda pekee kweye sim1, naomba maujanja yakuweza kuifanya itumie laini zote. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomben msahada jins ya kutrack simu ...shida so kuipata simu ni kwamba mwizi kaiba simu,pikipiki na pesa taslimu laki 4 .... Kwaio naomb njinsi ya kufanya nimpate uyo mwizi Simu...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
Back
Top Bottom